Mkuu nilisikia eti Ndugayi alikuzuia hata kuvaa suti!Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.
Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.
Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
Mtukane Ndugayi na bungwe lake hadharani mkuu utaitwa fasta!Naomba connection ili namimi nihojiwe hata wiki 1
Huko kwenye mahojiano ni dunia nyingine kabisa, si sehemu salama abadani kwa ahojiwaye. Askofu ataleta majibu, tuwe wapole & wavumilivu kwa muda mfupi tuuKwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
Ni hivi huyu Gwajima naye Ni mdebwedo tu,Kama alitepeta kwa Pengo usitegemee kuwa kwa Hili hatatepetaLowasa huyo mdebwedo au hujui kuwa Gwajima ndiye aliyemshika mkono Lowasa kwenda Chadema? Kakobe huyo naye ameshalegea tayari. CCM na Serikali yake hawamuwezi Gwajima.
Ukiitwa ndo Utajua kuna utaalamu au Kuna udaku.By the way Gwajima atatoa picha kamiliSijasikia utaalamu wowote kutoka serikalini au Bungeni,nimesikia udaku tu.
Alimkosoa sana kwa makonda.Sawa tusubiri matokeo, ila kuna vitu vinafikirisha juu ya Gwajima.
Hivi kipindi cha Magufuli alishindwa kupata jambo lakushupalia? Yote aliyofanya yalikua sawa?
Nimekuelewa mkuu ,kweli ukitaka kuua taifa ua elimu hizi consent form ni za kawaida na dunia yote inafanya hivi,mbona kwenye op za kawaida tunaweka sahihi zetu now why kwa hizi jab?Mku nafikiri shida sio chanjo lakini watu wanajiuliza, ile fomu ya kuweka sahihi yako kwamba kwa lolote litakalotokea baada ya mtu kupata chanjo, asimulaumu mtu yoyote nafikiri ndo inawapa wasiwasi. Unajua kwamba mwananchi wa kawaida hana uwezo kujua na kuhakiki usalama wa chanjo. Serikali yetu ndo ina watalamu/machineries na Govt Depts kama TBS etc. Hapo ndo wanabaki njia panda.
Wewe ni middle class aliye mpumbavuKwa kupata kwako hizo jabs sisi tumepona
😃😃😃😃😃😃CARIHA unasaka uteuziPaso alienda kuhojiwa anaujua mziki wake, so msimpe bichwa huyo gwajizo
Kwa sababu swala lake linahusu afya za watu kitu ambacho ata ww ungeitaji ufafanuzi zaid ili ujue yup yupo sahh na yupi mpotoshajiKwanini iwe hivyo kwa Gwajima pekee? Wote waliohojiwa kabla walihojiwa kwa utaratibu huo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unapewa per diem kabisa!Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.
Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.
Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
Fafanuzi zimetolewa sana na zinaendelea kutolewa. Ila kuna kundi ambalo halitakaa lielewe hata liletewe wataalamu kutoka Mars.Kwa sababu swala lake linahusu afya za watu kitu ambacho ata ww ungeitaji ufafanuzi zaid ili ujue yup yupo sahh na yupi mpotoshaji
Hahaha ana goli moja mkononiRashid ana kofia mbili za kuongea kama mbunge pili kama kiongozi wa dini hayo maneno aliyaongea akiwa kama nani.
Shida ipo kwenye kulazimishana kuchanja chanjo ambayo haikufanyi usiambukizwe na kuuawa na corona!Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.
Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Hapana my dear Mimi Sina chama chochote hata ujumbe tu wa mtaa sina sembuse uteuzi huku ambako sijulikani kabisa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]CARIHA unasaka uteuzi
haha sawa.Hapana my dear Mimi Sina chama chochote hata ujumbe tu wa mtaa sina sembuse uteuzi huku ambako sijulikani kabisa
Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.
Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Ukiitwa ndo Utajua kuna utaalamu au Kuna udaku.By the way Gwajima atatoa picha kamili
Acha ujinga wewe,mimi waniite Bungeni ili iweje,kwani mimi Mbunge?Ukiitwa ndo Utajua kuna utaalamu au Kuna udaku.By the way Gwajima atatoa picha kamili
Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI
yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,
na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.
Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.
msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.