The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Are you really serious?Pili nitoe masikitiko yangu kuwa nchi hii kuwa na msimamo tofauti na rais ni kosa this is not right.
Gwajima kasema anataka aelimishwe sasa mmeshindwa kumwelimisha mnamwita dodoma. Akili ndogoGwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.
Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Je, ulikalia kiti kilekile na kutumia mike ile ile au usukumani hilo halisruhusiwi?Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.
Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.
Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
GWAJIMA AFUKUZWE CCM ...Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
GWAJIMA mtengeneza FILAMU ZA KIZUSHI NA TAHARUKI.....Je, ukilia kiti kilekile na kutumia mike ile ile au usukumani hilo halisruhusiwi?
Nadhani hukuelewa lugha niliyotumia, pole kwa usumbufu. Naona umuhimu wa walimu kutilia mkazo lugha za kigeni mashuleni.Are you really serious?
Unajua maana ya hii kauli yako?
Kwa hiyo hata tukiwa na Rais mwehu na alete wehu wake ktk nchi halafu tukakataa ujinga wake, basi tutakuwa tunafanya kosa, au siyo...?
Kama wewe ni punda au kondoo wa dizaini hiyo, basi huyo ni wewe na kamwe haiwezi kuwa hivyo kwa sisi wengine...!!
Okayhaha sawa.
GWAJIMA AFUKUZWE CCM ...
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
Umetumia lugha ya kiswahili inayoeleweka vyema kabisa...Nadhani hukuelewa lugha niliyotumia, pole kwa usumbufu. Naona umuhimu wa walimu kutilia mkazo lugha za kigeni mashuleni.
usikute wewe umeaminishwa kuwa ukichanja hupati covid na huwezi ambukiza.Hii ni drama tu.
Wote ni wapigaji.
Watasutana na kuishia 'onyo'
Serikali yenyewe imekosa msimamo kwa kusema eti chanjo ni hiari wakati kitaalamu sio hiari. Kwasababu usipochanja ukiupata ugonjwa huenda utaambukiza wengine ambao wanaweza kufa; pamoja na wewe mwenyewe!
Ni sawa na kusema "tii sheria bila shuruti" wakati wewe mwenyewe huheshimu katiba na sheria!
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Kwangu Jehovah ni ushetani mkubwa,acha kabisa kugusa imani zangu mimi ni muumini wa mizimu yangu sio uchafu huu ulioletwa na Wageni.Hiki ndicho kamati hii ya Bunge ili la Job Ndugai ilichomhoji leo au unajiandikia tu..?
Wewe umekwenda shule sawasawa kweli? Ni nini hiki ulichoandika hapa...?
Hujui kuwa Mungu Yehova ndiyo mahakama ya juu kabisa?
Mungu Yehova ndiye mahakama ya juu zaidi kuliko zote mbinguni na duniani...!!
Umeandika kitu gani hapa? Unajua hoja ya mjadala ni nini? Mbona unaleta mambo ya "jab, jab, jab..?"
Nimekuelewa comrade but hapa it was issue ya nduguyo gwajiboy na siyo experience ya kuitwa.Mkuu TODAYS , mimi sio tuu hutoa likes kwa kila thread ninayofungua na kwa kila post ninayosoma, ila pia ni mchangiaji mzuri, mfano kwenye uzi huu, nimeelezea experience yangu, kuhojiwa na Kamati ya Bunge.
PUzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!
Wanabodi, Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na jinsi mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito. My Story. Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa...www.jamiiforums.com
Umetumia lugha ya kiswahili inayoeleweka vyema kabisa...
Shida yako iko kwenye mantiki (logic) ya argument yako kwamba;
"...kutokukubaliana na Rais wa nchi kwa kila kitu anachotaka ni makosa sana..."
Nami nakuambia, hilo ni la kwako peke yako, wengine hatuko huko...!!
Nimekupata. Shida ni kwamba hizi chanjo tumeshapata nyingi tu, lakini sasa nisaidie kwa upande wako chanjo ipi uliyowahi kusainishwa "consent form"? Nachojua chanjo sio operation.Nimekuelewa mkuu ,kweli ukitaka kuua taifa ua elimu hizi consent form ni za kawaida na dunia yote inafanya hivi,mbona kwenye op za kawaida tunaweka sahihi zetu now why kwa hizi jab?
Kwa kosa gani!?GWAJIMA AFUKUZWE CCM ...
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
unaelewa maana operation?Nimekupata. Shida ni kwamba hizi chanjo tumeshapata nyingi tu, lakini sasa nisaidie kwa upande wako chanjo ipi uliyowahi kusainishwa "consent form"? Nachojus chanjo sio operation.
Mku nijibu swali langu.unaelewa maana operation?