Zitto kama si kutaka sifa angekataa kununuliwa na TISS
we huna akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto kama si kutaka sifa angekataa kununuliwa na TISS
jaman yani kuna watu hawajui maana ya mitandao ya kijamii
.
.yani kwa kuwa ww unatumia FB kuchat na wajinga wenzio hujui kuwa huo mtandao ni njia moja ya msingi sana katika kufanikisha mawasiliano....ndo mana unaitwa mtandao wa kijamii.....maana yake njia ya kuwasiliana kwa wanajamii....zzk hata kama ni mnafiki anapofanya vzr ni haki tuseme na kutumia fb kama njia ys mawasiliano siyo kosa ni njia nzuri kwani inawafikia watu wengi zaidi.
mapambano ni ya posho katiba ni njia tu ya kuifikia posho.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naanza sasa kumwelewa Zitto na nazidi sana kumtofautisha na wanasiasa wengine wa upinzani. Well done Zito na wote wanaopinga ongezeko la posho. Kabla hawajaongeza posho wawaongeze kwanza mishahara watumishi wa Umma hasa walimu.
Hawa wanasiasa wetu bwana kwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii...sasa kama ni msimamo wake, si asubiri kesho ndiyo aweke hiyo saini?
Dogo kakimbilia fb kuchezea akili ndogo za vi-fomu foo vya divisheni faivu. Jf imemkong'oli, hathubutu!Anakataa posho kwenye FB ?
ukrane wameweza kumtimua rais sisi tunashindwa nini kuwatimua hawa wabunge? cdm acheni uoga,
nasikia Kiongozi KUB naye yumo kwenye kamati! hawa wanasiasa hawana maana, hakuna cha CCM, NCCR, CUF wala CDM. Ni walewale tu kinachowatofautisha ni majina tu. Tatizo la ZITTO KABWE hatendi anayoyasema. Mahubiri yake yanamtoa nyoka pangoni ila matendo yake yanamfanya nyoka akimbilie pangoni.