Bila kusahau kulamba asali watoto wao na familia zaoCcm wameshawadharau watanzania siku nyingi,wala hawajari maoni ya Watanzania wanachojari ni namna gani wataendelea kushika dola hata kwa njia ya upanga
Kwanini tuwaombe? ni lazima kutenda hakiWatu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
Vipi wazee wa kubarikiwa wa tec hawakutaka kubarikiwa kuwepo nchi nzima kisheria kwa kumuunga mkono papa?Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
Koryo, unatwambia wabunge wapi? hawa wabunge wa ndiyoooo wakiongozwa na spika wao? Watafanya kila wawezalo kumfurahisha m/kiti wa chama chao kwa ajili ya huruma ya kuteuliwa kugombea 2025, hivyo si rahisi kuzingatia maoni ya wananchi hasa kwenye swala la Wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Ni baadae kabisa wakiwa uraiani baada ya kuenguliwa na watakapokuwa wamedondoshwa kwenye kura za maoni ndipo akili zitakapowarudi. Kwa sasa bado wanalamba asali, hayo maoni hayana tija.Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
Wewe mwanamke hadi unakera, wewe kila wakati ni udini tu hata kwenye serious issues!!Vipi wazee wa kubarikiwa wa tec hawakutaka kubarikiwa kuwepo nchi nzima kisheria kwa kumuunga mkono papa?