The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi nyingine za taasisi za umma kutokana na kasi ya ujenzi na viwango vya ubora.
Pia soma: Kamati ya kudumu ya bunge yaridhishwa na ujenzi wa minara 758