PreGE2025 Kamati ya bunge yabaini madudu Mbeya, zimepigwa milioni 73

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Hayo yamebainika wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa idara Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze

Kamati ya Nunge baada ya kumaliza kohoji matumizi ya vifaa hivyo, ilimpa nafasi ya kutoa ufafanuzi afisa manunuzi na mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Halima Mdee amesema baada ya mvutano mkali wa hoja baina ya viongozi wa halmashauri na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kamati hiyo imetoa maagizo.

Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Hayo yamebainika wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa idara Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Kamati ya Nunge baada ya kumaliza kohoji matumizi ya vifaa hivyo, ilimpa nafasi ya kutoa ufafanuzi afisa manunuzi na mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Halima Mdee amesema baada ya mvutano mkali wa hoja baina ya viongozi wa halmashauri na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kamati hiyo imetoa maagizo.

View attachment 3281493
Fikeni chunya muone madudu ya wizi wa fedha!
 
Hizo mbona ni ndogo sana compared na yale anayoyaona CAG kwenye mareport yake lakini pia ule ujinga wa mashirika ya umma.
 
Back
Top Bottom