wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
hiyo kamati imetoa ushauri wake kinyume cha sheria... kuhamasisha matumizi ya condoms kwa watoto ni kuhamasisha ubakaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikusababishia nini? mkuuSio unasikia ndio hali halisi unatakiwa umeze mara 2 tu kwa mwaka, ndio mana ziko kwenye kundi la " EMERGENCY" Huku kwetu zinamezwa usiku na mchana
ukiwaambia utaambulia maneno ya kebehi, kuna mdada anafanya nae kazi nilimwambiaga hata mimi imewahi kunidhuru madhara makubwa yaliyodumu miaka mi5 ,7 years ago akanambia panadol ina madhara, kila kitu kina madhara kwahiyo nipambane na hali yangu..
walinichangia kunikosoa jamani kama wanawake wa5 nikakoma na sitakaa nimshauri mtu kuhusu hilo tena.
Naomba nisaidie hata, niandikie inbox nipate kuyajua.Nmewaacha kwakweli
Mambo mengi makubwa kimwili na kisaikolojia. hata kuandika mtihani
Ni kweli lakini inaonekana sijafikia level yako ktk hizi kazi.ww inaelekea ni Master kwenye hizi mambo mkali wa hizi kazi
Mimi nina ushuhuda wa mtu/watu anayetumia saana p2, amefunga ndoa mwezi wa 11, sasa hivi ana mimba yake ina wiki kadhaa sasa.Zilikusababishia nini? mkuu
Naomba nisaidie hata, niandikie inbox nipate kuyajua.
Sasa hizo side effects ni zipi, hizo ndio ttunataka kuzijua hapa.Mimi nina ushuhuda wa mtu/watu anayetumia saana p2, amefunga ndoa mwezi wa 11, sasa hivi ana mimba yake ina wiki kadhaa sasa.
P2 inaweza ikawa na side effects zake lakini sio kubwa kama ambavyo tunataka kuzungumza hapa.
Katika maisha yako, hasa unapotumia madawa, hakikisha unapata milo 3, na uwe unakula chakula kizuri kabisa, basi.
Wachungaji huwapata wanawake kwa shuhuda mwenzenu amekuja na shuhuda hapa mzingatieSio unasikia ndio hali halisi unatakiwa umeze mara 2 tu kwa mwaka, ndio mana ziko kwenye kundi la " EMERGENCY" Huku kwetu zinamezwa usiku na mchana
ukiwaambia utaambulia maneno ya kebehi, kuna mdada anafanya nae kazi nilimwambiaga hata mimi imewahi kunidhuru madhara makubwa yaliyodumu miaka mi5 ,7 years ago akanambia panadol ina madhara, kila kitu kina madhara kwahiyo nipambane na hali yangu..
walinichangia kunikosoa jamani kama wanawake wa5 nikakoma na sitakaa nimshauri mtu kuhusu hilo tena.
Huyu naye amekuja na ushuhuda pia duhMimi nina ushuhuda wa mtu/watu anayetumia saana p2, amefunga ndoa mwezi wa 11, sasa hivi ana mimba yake ina wiki kadhaa sasa.
P2 inaweza ikawa na side effects zake lakini sio kubwa kama ambavyo tunataka kuzungumza hapa.
Katika maisha yako, hasa unapotumia madawa, hakikisha unapata milo 3, na uwe unakula chakula kizuri kabisa, basi.
Nitakuandikia usijali ila madhara yapo ni makubwa tuZilikusababishia nini? mkuu
Naomba nisaidie hata, niandikie inbox nipate kuyajua.
Mnooooooooooo!Tatizo binadamu ya siku hizi ni wabishi sana...
unadhani wanakunywa kuwa hawajui?? wanajua tuukiandika utasaidia wengi sana wachuo wanazipiga sana hizi dude
Duh sasa itakuwaje [emoji848][emoji848]Nitakuandikia usijali ila madhara yapo ni makubwa tu
Mnooooooooooo!
unadhani wanakunywa kuwa hawajui?? wanajua tu
nmekua mzito sana kwasababu nimewahi elekeza watu wakanishushua kuwa imenikataa tu mimi na kila kitu kina side effect hata panadol inayo kwahiyo niwaache.
Ndio mana siwezi kusema mengi
Inavuruga mzunguko wa hedhi.Sasa hizo side effects ni zipi, hizo ndio ttunataka kuzijua hapa.
Sasa kila tendo anameza P2Inavuruga mzunguko wa hedhi.
Hayo mengine unayosikia ni porojo tu, mimi naongea kutokana na watu ambao wakiwa wanaitumia nikakaa nao kwa miaka mingi.
Madhara ya Utasa, sijui nini na niniii naona ni kama hadithi tu. Pengine hayo madhara yapo kwa wanaotumia p2 mara 2 au 3 kwa mwezi ila kama ni kila mwezi mtu unatumia mara moja sijawahi sikia hayo madhara.
Huyo niliyemtolea ushuhuda hapo juu ambae ameshika mimba december, alikuwa anatumia p2 si chini ya miaka 4 mfululizo.
Ikiwa tukimaliza tu, namsimamia anameza p2 mbele yangu, nilikuwa sitak ujinga mimi kabisa kuitana baba wakati bado sijawa tayari.