t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
DuhhhKwani inatoa huduma au inafanya biashara. Kazi kubwa ya BRT ni kutoa huduma kwa wananchi wake siyo kufanya biashara.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Zile ni kodi zako mkuu! Na ile ni biashara kama zingine tu, ila serikali yako ilijidai kufanya biashara ndo inaangukia pua ,
Ingepewa sekta binafsi ndo ungeelewa billions zilizolala pale zinafanyaje kazi.