Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

Kwani inatoa huduma au inafanya biashara. Kazi kubwa ya BRT ni kutoa huduma kwa wananchi wake siyo kufanya biashara.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Duhhh
Zile ni kodi zako mkuu! Na ile ni biashara kama zingine tu, ila serikali yako ilijidai kufanya biashara ndo inaangukia pua ,
Ingepewa sekta binafsi ndo ungeelewa billions zilizolala pale zinafanyaje kazi.
 
Ukitoa Masanja Kadogosa TRC kwenye biashara ambazo serikali inamiliki wenyewe wakurugenzi waliobaki ni shida.

It’s beyond me mradi kama huo kupata hasara.
 
Kwa hesabu za TRA na annual returns ni kweli KIUHALISIA sio kweli kabisa
 
Subirini waje na pendekezo la kuongeza nauli. Hapo ndio mtajua kuwa wanajiendesha kwa hasara au wanataka kurefusha kamba zao.
 
Kuna wajanja wachache tena wanajulikana kabisaa, wanaijumuhii kampuni kwa makusudi ili wakabidhiwe wao pekee yao waindeshe kwa asilia 100%
 
Wamebaini au ndivyo ilivyo toka wameanzishwa hao BRT..

Enzi za UDA watu walisema wanapiga hela,haya sasa wazalendo jiendesheni kwa faida mtoe gawio serikalini.
 
Serikali nyingi duniani hazifanyi biashara, hata huko first world waliamua kubisnafsisha biashara zao kwenda sekta binafsi.
Nilipoona awamu ya tani ipo busy kuuwa sekta binafsi ili serikali ifanye biashara nikajua tayari kuna shida, trust me biashara zote zinazofanywa na serikali ikiwemo sgr atcl mwendokasi nk !zitakuja kufa kibudu huko mbele , internet haisahau
 
Hata mi nalipinga,waongo
 
Umenikumbusha kuna mzee mmoja alinunua daladala, akawa anakaa kibarazani kwake akihesabu route na jioni akiletewa hesabu pungufu anawaka haswa kwamba mbona gari ikienda imejaa ikiruid imejaa...

Usiangalie kujaza watu, kuna maswala ya vipuri, kulipa wafanyakazi mishahara na mambo mengi...
 
Usiwatetee wezi hivyo vipuri sio kila siku kwamba vinanunuliwa...wamiliki wa daladala tu wanapata faida daily ambapo route moja ina ushindani mwingi, foleni, kupigwa mabao na traffic n k sembuse wao ambao gari zao hazikai kwenye foleni, hakuna ushindani na daladala wala hakuna kupigwa bao na traffic wanaendesha spidi wanazotaka wao....hasara inatoka wapi hapo?

Labda hiyo ripoti inalengo la kuitoa hii kampuni kutoka ktk mikono ya serikali na kwenda ktk mikono ya mtu binafsi.
 
Labda bei ziko chini tofauti na gharama halisi za uendeshaji, lakini huenda ikawa ni mbinu ya kuudanganya umma ili wapigaji wapige zaidi kama ilivyokuwa kwa Tanesco na mashirika mengine ya umma.

Dawa yake ni kukaribisha mshindaji mwingine aingize mabasi barabarani tuone kama watasema wanapata hasara
 
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...

Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
Level Seat
Tutayaacha Magari Nyumbani
Mfumo wa kutumia kadi ulikuwepo ila wanajua wenyewe nini kilitokea hadi kadi zikaacha kutumika. Sijui kama wanaweza kutumia kadi
 
Ndiyo maana mfumo wa kadi uliishia njiani ghafla tukaona mashine za ku punch kadi hazifanyi kazi.
 
sasa Magufuli yeye ndio aliiba? Rates za MaxMalipo zilikuwa juu sana kiasi kwamba ilikuwa kama wao ndio wenye mabasi
 
Mkuu,ni hoja ya kutaka kuleta ubinafsishaji hapo
 
Hao maxmalipo nao wezi wameipiga Sana serikali.
Watu kibao walilipa faini na tozo za magari kupitia maxmalipo na hazikusoma kwenye system wakalazimika kulipa mara mbili.
Mswahili hawezi fanya kitu kikafanikiwa.
Menejement zote tungewapa wageni
Tatizo la waswahili ni itikadi za kuendekeza njaa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…