Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kwa hiyo kwa akili yako na Magufuli mkaona bora kuharibu mfumo wa kadi. Unakumbuka mliwapa hiyo kazi TTCL vipi? Magufuli aliharibu hilo shirika.. hakuna ubunifu shirika limejaza wakata tiketi wapo sawa na abiria ujinga mtupu.Pumbavu kweli wewe sasa Magufuli yeye ndio aliiba? Rates za MaxMalipo zilikuwa juu sana kiasi kwamba ilikuwa kama wao ndio wenye mabasi
Mfumo ulikuwa corrupt na ndio asili ya watanzania. Wanapenda mazingira watakayoweza kudokoa hela tu.Kwa hiyo kwa akili yako na Magufuli mkaona bora kuharibu mfumo wa kadi. Unakumbuka mliwapa hiyo kazi TTCL vipi? Magufuli aliharibu hilo shirika.. hakuna ubunifu shirika limejaza wakata tiketi wapo sawa na abiria ujinga mtupu.
Kumbe una akili eeeh. Ndio kilichokuwa kinatakiwa kwanini tiketi wasitoe kama EFD tiketi zinakuwa loaded katika mashine zinatoka tu sasa sikuhizi zikitoka dirishani zinaenda kupigwa sijui kitochi kabla ya kuingia. Wanapoteza mapato kwa matumizi ya kijinga sana.Mfumo ulikuwa corrupt! Cha kufanya waweke GePG tu kazi iishe watu walipie kwa control number!
Lita moja ya dizeli wananunua kwa 15,000Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.
Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
Tatizo la waswahili ni itikadi za kuendekeza njaa tu!
Haihitaji uwe mtabiri kubaini hilo,hata bwawa la Rufiji linaweza kupasuka,lisijae maji na umeme usizalishwe.Nina wasiwasi hata treni ya SGR itakuwa hivyo hivyo!
Kamati imekagua mahesabu (mapato na matumizi) na kubaini hasara. Sasa wewe unayepinga, una data zipi?Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.
Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
Sana yaniKumbe una akili eeeh. Ndio kilichokuwa kinatakiwa kwanini tiketi wasitoe kama EFD tiketi zinakuwa loaded katika mashine zinatoka tu sasa sikuhizi zikitoka dirishani zinaenda kupigwa sijui kitochi kabla ya kuingia. Wanapoteza mapato kwa matumizi ya kijinga sana.
Mwanzoni walisema hivyoHasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...
Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
Level Seat
Tutayaacha Magari Nyumbani
Kwa dar, ni wangapi wenye uwezo huo wa kulipa 3000 ?abiria wengi ni hao choka mbaya!!Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...
Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
Level Seat
Tutayaacha Magari Nyumbani
Watu wanaiba hela hapo hakuna hasara hata iweje...kampuni haina ushindani ni wao tuu wanapataje hasara wakati bus za mikoani na ushindani mkubwa na hasara sio kubwa kama za huko kila kukicha...napinga hakuna hasara ni wizi tuu maana mali ni ya umma hakuna anaejali..
Yule mtu alibugi vitu vingi sana mpaka kuua ule mradi wa gesi na sakata la korosho.Baada ya kuwatoa maximalipo mambo yalienda hovyo na moja ya vitu magu alibugi ni pamoja na hilo
pole mkuu kwa kuvurugiwa uwekezaji.Wakulaumiwa ni Magufuli na roho mbaya yake.. kulikuwa na mfumo mzuri sana wa kulipia kuhusu tiketi yeye na roho korosho yake akawatoa wale Maximalipo na ukawa mwanzo wa wizi wa tiketi. Pesa zinaibwa sana sijui kwanini waliua ule mfumo wa tiketi. Majaliwa kapiga mdomo kawa kimya. Bashungwa ndio mtu wa ajabu sana katembelea pale kakuta changamoto zake akampa muda meneja afanye utaratibu zimalizike. Kuna wizi sana.
Tuendelee hivi hivi mlisema akina Idd Simba wanakula maisha kwa UDA sasa wazalendo tunaomba gawio kwa serikaliWachumia tumbo watakua ni wengi humo
Hakuna cha wasimamizi makini, serikali na biashara wapi na wapi?Huo mradi ni failure...watafutwe wasimamizi makini