Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

Kumbe unajua kwamba no incentive to work for public interest,ndio uelewe sasa kwamba kinachotakiwa na kubinafsishwa.
 
Hakuna cha wasimamizi makini, serikali na biashara wapi na wapi?

Bila kubinafsishwa ni useless.Kazi ya serikali ni kujenga barabara sio kumiliki daladala.

Kwani kutafutwa wasimamizi si ndio kubinafsishwa kwenyewe, au mimi ndio sielewi mkuu?
 
Unajua chochote kuhusu transportation business?

Huko kujaza ndo kutengeneza faida? Ushajiulizs wanajaza muda gani ndani ya siku?

Ushajiuliza kuhusu operation costs?

Kabla hataka kamati ya bunge kusema, nilishaona kabisa huu mradi unatengeneza hasara.
 
Hela wanapata.. BUT utakuta wanajilipa mishahara minono kweli

Pia mabasi mengi ni chakavu
 
Inajiendesha Kwa hasara vipi wakati hawapigwi mkono na trafiki?..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu Tanzania kinajiendesha kwa faida maana wapigaji ni wengi sn
 
Wampe Bakhresa auendeshe uone kama kutakuwa na huo ujinga...
 
Serikali ilitakiwa kutengeneza miundombinu tu kisha hizi huduma zitolewe na makampuni binafsi kwa kutangaza tenda!
Serikali haiwezi kamwe kuendesha huu mradi kwa mafanikio na wajifunze ktk nchi nyingine.
Kunakuwepo na kitengo cha serikali cha monitoring and evaluation, full stop!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…