Hata walioshiriki ku-compile hayo mavitabu wengine hawajasoma page zote!Ndo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma 🤣...
Huyu bibi anatakiwa kuwajibika haraka snWaziri wa Afya chini ya Jiwe those days..what a disgress
Hiyo ripoti umeisoma wapi maana hata Samia ndio kaipokea.Ukisoma ripoti nzima hakuna jipya na ni yale yale tunayoyasikia mataifa ya nje.Inaonekana hawakutumia ujuzi na akili zao wala kusikiliza maoni ya wananchi bali wamekopi na kubandika...
Ujinga mtupu huu.Ukisoma ripoti nzima hakuna jipya na ni yale yale tunayoyasikia mataifa ya nje.Inaonekana hawakutumia ujuzi na akili zao wala kusikiliza maoni ya wananchi bali wamekopi na kubandika.
Hivi kamati haijasikia kwamba chanjo nyingi zina madhara na mataifa kadha wa kadha wanazirejesha kwao.
Na hawajasikia kuwa taifa lillochanjwa kwa zaidi ya asilimia 60 corona ndio kwanza inaongezeka.
Na kwamba sasa corona huko ilipo haichagui tena umri,mbona wao bado wanagwa makundi ya watoto na wazee.
Yeah, kama ninavyodhani wewe ni mwanamke.Endelea kudhani dhani tu. Ipo siku utadhani kuwa nawe ni mwanamke!
Ukisoma ripoti nzima hakuna jipya na ni yale yale tunayoyasikia mataifa ya nje.Inaonekana hawakutumia ujuzi na akili zao wala kusikiliza maoni ya wananchi bali wamekopi na kubandika.
Hivi kamati haijasikia kwamba chanjo nyingi zina madhara na mataifa kadha wa kadha wanazirejesha kwao.
Na hawajasikia kuwa taifa lillochanjwa kwa zaidi ya asilimia 60 corona ndio kwanza inaongezeka.
Na kwamba sasa corona huko ilipo haichagui tena umri,mbona wao bado wanagwa makundi ya watoto na wazee.
Mkuu hatupo zama za mwokozi YESU kutumia luga ya mafumbo, tuweke wazi mama J na J mambo gani walikua wakiyamaliza wenyewe?Mwendazake alikuwa anatisha kwelikweli, halafu sijui akili zake alikuwa amepewa na nani maana hata mama janeth & jokate walikuwa hawamuelewi wao walikuwa ni kuvua na kutegesha basi mambo mengine walikuwa wanamuachia mwenyewe
Kila zama na kitabu chakeKama ni mabadiliko sasa kweli ni mabadiliko. Ina maana huko nyuma haya hayakujulikana?View attachment 1788580View attachment 1788582
View attachment 1788599
Kama statement yako ingalikuwa kweli sijui kama akina bagamoyo wangalikuwa haiAliona kuvaa barakoa ni ujinga...afu uzuri wa corona unajua wanyonge na wabishi wake inajipigia tu
Are you a scientist, at least by Tanzania standards? Madhara ya chanjo za corona yako within acceptable ranges. Any drug ina madhara mradi yawe kwenye acceptable ranges.Hivi kamati haijasikia kwamba chanjo nyingi zina madhara na mataifa kadha wa kadha wanazirejesha kwao.
Wasukuma bado mna madukuduku!!!Ndo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma 🤣.
Sidhani kama ni mtu wa kusoma mavitabu kama hayo.
Yeye ni mitandao tu 🤣🤣.
Kama wakunya pia!Jopo lililobuniwa na Rais wa TZ linasema kwamba idadi ya watu walio na covid itangazwe na pia kwamba Malazy wadungwe chanjo.
Wewe mwache tu ni haki yake, mwenye hasira hufurahi akimalizia hasira zake, hata kwa asiehusika.jokate anaingiaje hapa tena jamani