Mama yenu amezungukwa na madalali ,dalali yupo radhi kusema uongo mkubwa hili apate kodi ya mwezi mmoja tu na kukuacha ww ukiangaika miezi 6 au mwaka mzima
Covid ipo toka 2019 imepiga waves zote kwa nguvu nchi ambayo kwa sasa covid inaitesa ni INDIA ,Tanzania tuliamua kuchukua uamuzi wa wachache yani No Lockdown kuvaa mask ni utashi wako na kutozuia mikusanyiko na Mungu alikuwa upande wetu kwa maana hatuna athari kubwa sana za covid mpk sasa
Dunia inakwenda kufunguliwa kwa maana nchi nying zimeshaachana na masharti yale makubwa kuhusu covid (Lockdown,Mask On , Social Dis nk)na maisha yanaendelea kurudi kawaida tu.. sasa nitashangaa sana huyu mama kuturudisha nyuma yani mtoto anatembea kisa hakupitia stage ya kutambaa unamwambia arudie step ya kutambaa by the way Covid Funds wazungu hawatoi siku hz... coz trend ya Ugonjwa inakwisha Kenya wamekula sana hii hela sisi tukasema watusamehe madeni hatukuchukua sasa sijui huyu anataka nini
Hakuna Sehemu ambayo Mtanzania amepigwa Burn kuwa tusiende kote tunaenda ni kupima tu covid test then unajichanganya .. Ngoja tuone kilichokuwa nyuma ya yale mabarakoa waliokuwa wanavaa
Wale wanaotaka kwenda kwa mabeberu watafata taratibu za kupima au chanjo wengine ambao hatuna mpango wa kwenda kwa mabeberu watuache tuendelee kujichanganya mitaani huku tukiendelea kula bata letu na kujipongeza kwa totox za Badoo,Tinder na Exotic