#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
 
This was a rubbish kamati! Yaani mapendekezo ya kuvaa barakoa tulihitaji kamati? Hawakufanyakazi yao na yaonekana hawana uzoefu wa kuandika ripoti.
 
Daah aisee ila mi kuvaa hayo mabarakoa sipendi kwakweli. Ni bora iwe hiyari na sio lazima. Wakiweka maisha yawe kama mwaka jana, hali itakua ngumu sana.

Mambo yawe hivi hivi, iyo chanjo nayo iwe hiyari ya mtu kuchanjwa.
Kwa kadiri ya uelewa wangu ni kuwa hakuna nchi iliyofanya chanjo iwe lazima. Kila sehemu wamesema ni hiari. Kuhusu kuvaa barakoa wanaweza kusema zivaliwe iwapo wave nyingine itakuja.
 
Wao

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kamati imeamua kufuta legacy ya Magufuli. Kamati imemvua nguo Magufuli na kikundi cha Mataga kilichokuwa kinashabikia ujinga na ulozi kama njia ya kupambana na Corona. Kamati imehitimisha kwa kusema, tupigane na Corona kisayansi tukiwa sambamba na WHO.
 
Mwendazake alikuwa anatisha kwelikweli, halafu sijui akili zake alikuwa amepewa na nani maana hata mama janeth & jokate walikuwa hawamuelewi wao walikuwa ni kuvua na kutegesha basi mambo mengine walikuwa wanamuachia mwenyewe
Kaka ukiwa umevuta bangi jitahidi kuwa mbali na kifaa chako cha mawasiliano.

Janeth na Jokate ni mama zako kama alivyo huyo aliyekubeba miezi tisa halafu akakuzaa.

Kuwa na adabu usipende kuwavunjia heshima watu bila ya sababu za msingi.
 
Kiduchu tu na sio maktaba kubwaa ya nini...

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sitachanjwa hata iweje,waache wachanjwe wenyewe, kama ni kusafiri sio lazima nisafiri kila kitu kipo hapa hapa Bongo. Bongo ni paradiso nisafiri niende wapi na nikafanye nini?
🤣 🤣 🤣Of course huna haja ya kusafiri. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
 
Kwani kuna mahala wametamka kuwa chanjo ni lazima ndugu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma mstari wako wa mwisho. Kwa hiyo haya yote yamefanyika na tuyafanye kwa sababu ya maingiliano na wengine? Uingilie wapi? China? Maisha yetu siku hizi ni attachment na china, FINITO! Hiyo ndo iwe sababu ya kujiandikia mavitabu kama haya na baadaye tuanze show za kuvaa barakoa?

Huyu rais miaka yote miwili alivaa barakoa? Hiyo corona ilimuogopa au anaamini sasa imeongezeka?
 
Shule yako ni ya chini ya mti kama mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…