#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Inasikitisha sana
 
Takataka
 
Fanyeni kazi
 
Mkuu kumbe naweumekuwa mjinga,kwani magonjwa nyemelezi yatamwandamu mtu kwa sababu hajachanjwa chanjo ya corona? ina maana ambao wanakuwa nayo ni sababu ya kukosa chanjo?
 
Mkuu kumbe naweumekuwa mjinga,kwani magonjwa nyemelezi yatamwandamu mtu kwa sababu hajachanjwa chanjo ya corona? ina maana ambao wanakuwa nayo ni sababu ya kukosa chanjo?
Inasikitisha sana hawa wapotoshaji
 
Mama magenge ya Rushwa na ufisadi yatamsumbua sana
Kwani yalikwisha lini ?!!!!
Rushwa na ufisadi hauwezi kuisha mpaka kiama....kazi ya serikali ni KUPAMBANA NA MIFUMO HIYO na kubwa huwa WANAIPUNGUZA KASI YAKE.....

Yaani Kuna serikali ipi duniani inaweza kupambana na AKILI ZA WATU NA KUZISHINDA ZOTE?!!!

DUNIANI NI MAPAMBANO NA KUNA WATU HUISHI KWA KUIPAMBANIA RUSHWA NA UFISADI kwa maslahi yao KUNTU.....

Mh.Samia Suluhu Hassan ameanza vyema na kuiongoza nchi yetu adhimu!!!

#StaunchSupporterOfCCM
 
Kwa hiyo waziri wa afya aanze kutangaza wagonjwa wa corona waliopatikana kila siku?
 
Allah yebarikfik
Mwenyezi Mungu akupe maona ya kutuongoza
Ubarikiwe na Shukrani za dhati....
 
Kwa hiyo waziri wa afya aanze kutangaza wagonjwa wa corona waliopatikana kila siku?
Si lazima atangaze.....na nadhani hatofanya hivyo....kubwa ni Wizara kurekodi wagonjwa hao na kutoa huduma stahiki kwa waathirika....
 
Mkuu hivi unajua umuhimu wa kuwa umepata chanjo kabla ya kupata covid19? AU kuna umuhimu wa kupata covid19 ndipo upate chanjo?
 
Usilolijua ni usiku wa giza ,mambo mengne kama huna viwango vya kiroho huwezi jua
Tulia kijana mimi nina mpaka diploma kabisa ya masuala ya injili na Biblia so huna unalojua la kiimani kunizidi.

The thing is kama ambavyo ww ukienda Ulaya lazima uchanjwe homa ya manjano..... Ama ukizaliwa uchanjwe surua ila eti ikija chanjo ya corona ndio vita ya kiroho?? Nyie ndio mnatudhalilisha wakristo tunaonekana vilaza.

Chanjo ni hiyari tu hutaki acha, kwani umelazimishwa uchanjwe? Kama ni vita ya kiroho then ikija uipotezee
 
Sasa tumeamua tutafute data ili tujue nguvu ya adui wetu na kisha tujue tunamtokomeza kiasi gani,- lina ubaya hilo?
Dunia inairate kila nchi kulingana na situation yake, Tanzania imekuwa siku zote ni unknown , hata tu jinsi ya kujieleza ni aibu tupu.
Hizo data ziko wapi?
 
Tulia kijana mimi nina mpaka diploma kabisa ya masuala ya injili na Biblia so huna unalojua la kiimani kunizidi...
Kwahiyo hoja yako ni kwa sababu anachanjwa hizo chanjo zengine hivyo na hii achanjwe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…