#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Hizo data ziko wapi?
Siwezi kukuwekea hapa kwasababu zangu binafsi lakini kuna maeneo haya;
Maenei ambayo siyo risk
Maeneo ambayo ni risk
Maeneo ambayo yana high risk
Na maeneo ambayo ni unknown.


Si tulifall hapo unknown nadhani hilo unalijua.
 
Siwezi kukuwekea hapa kwasababu zangu binafsi lakini kuna maeneo haya;
Maenei ambayo siyo risk
Maeneo ambayo ni risk
Maeneo ambayo yana high risk
Na maeneo ambayo ni unknown.


Si tulifall hapo unknown nadhani hilo unalijua.
Kwani tatizo liko wapi mbona hata kamati ya corona nayo haijatupa data tujue hali yetu ikoje?
 
Kwani tatizo liko wapi mbona hata kamati ya corona nayo haijatupa data tujue hali yetu ikoje?
Nadhani ile kamati haikufanya upimaji wowote, kam ni data basi labda ilihoji madaktari kwa kesi zinazofanana na nakorona.
Lakini ngoja tusubiri upimaji uanze ili tujue tupo wapi.
 
Nadhani ile kamati haikufanya upimaji wowote, kam ni data basi labda ilihoji madaktari kwa kesi zinazofanana na nakorona.
Lakini ngoja tusubiri upimaji uanze ili tujue tupo wapi.
Sasa kama ni hivyo je ni kazi ipi ya kitaalamu iliyofanywa na hiyo kamati?
 
Sasa kama ni hivyo je ni kazi ipi ya kitaalamu iliyofanywa na hiyo kamati?
Ni kutushawishi watanzania tujue korona ipo na tutumie njia za kitaalamu kujilinda. Na kuwa kutoa data ni moja ya hatua moja wapo ya kupambana na huu ugonjwa.
Yaani tunaungana na dunia dhidi ya corona.
 
Angalizo nimeweka kwamba kama imani haimruhusu aache kuchanja maana ni optional tu sio lazima
Ndio sio lazima, sasa kwanini umekuwa ukitaja hizo chanjo zengine pamoja na tiba zengine kisa wanapinga hizi chanjo za corona?
 
Hakuna siku ambayo Watanzania walirudi katika majonzi siku ya uwasilishaji wa Tume aliyounda Raisi wa Kikatiba wa Tanzania,
Watanzania hawataki chanjo.

Kwanini huyu Mama anashadadia sana Chanjo ya COVID 19?kuna nini nyuma yake?Ndio kusema mnatupenda sana?

Mtaani kwangu sijazika hata Watanzania 3 kwa COVID 19 ,,leo inanirazimisha kuchanjwa?

Yaani augue mwingine,,nipewe dozi Mimi?

Wallah,,,Tunakoelekea mtapoteza kura nyingi sana 2025 au Watanzania kutojitokeza kupiga kura.

Kwa kifupi Watanzania hawataki chanjo....CCM chanjo ndiyo Sera yenu?
 
Ni kutushawishi watanzania tujue korona ipo na tutumie njia za kitaalamu kujilinda. Na kuwa kutoa data ni moja ya hatua moja wapo ya kupambana na huu ugonjwa.
Yaani tunaungana na dunia dhidi ya corona.
Hivi unaelewa kuwa hiyo kamati imechukua muda sana toka rais aiunde na huku tukijua inafanya utafiti muda wote huo, sasa hayo uliyoyasema ndio ya utafiti vitu ambavyo hata mwanzoni tulikuwa tunafanya? huko mwanzo tulishakuwa tunapima na kutoa takwimu na hatua mbalimbali zilichukuliwa kama wengine wanavyofanya.

Watuambia tumeathirika kiasi gani kwa kutofuata hizo njia kwa kipindi chote hiki ili hata tukianza kuungana na dunia tuone kwa kufuata wanavyofanya wengine ili tuweze kuona tumetoka wapi na tumefikia wapi.
 
Kwani umelazimishwa na technology hiyo hiyo ya mRNA inakuja na chanjo ya ukimwi tuone kama mtakataa
 
Aliyekuambia chanjo utapewa wewe kapuku ni nani?..chanjo ni kwa ajili ya wazito.

Kaa kwa pattern acha porojo
 
Kamati ituambie tumeathirika kwa kiasi gani kwa kipindi chote hicho ambacho hatukuwa tukifanya kama wengine walivyokuwa wakifanya, kuna maswali mengi sana ambayo yanahitaji majibu ya kitaalamu yajibiwe kwanza na sio kukimbilia kutoa mapendekezo tu ya kufanya kama wanavyofanya wengine. Watuambie kwa kipindi chote cha kutozuia mikusanyiko wala kulazimishana kuvaa barakoa imetuathiri kiasi gani?
 
Kwani umelazimishwa na technology hiyo hiyo ya mRNA inakuja na chanjo ya ukimwi tuone kama mtakataa

Mkuu umeligundua hilo vizuri kabisa. Ukimwi umepotezewa sana na wazungu kwa sababu haujawaathiri kama ukivotufanya sisi. Makampuni ya madawa si wasamaria, ni wafanyabiashara. Watatengeneza siku moja chanjo ya ukimwi kwa namna hii hii!! Dawa tu za ukimwi wanapewa, ndio waje wakatae chanjo??

Mleta mada anashindwa kufahamu kuwa kama hataki asifanye na wengine kuwaza kama yeye!
 
mtaani kwako utabaki peke yko usiyechanja ngoja mambo yaanze..🙃
Unataka kuniambia hawa watu wangu wa mtaani hapa ambao hawavai hata barakoa wala kunawa mikono achilia kuepuka mikusanyiko ndio chanjo zikija wataenda kuchanjwa kwa hiari yao kabisa? mimi nafikiri kunahitajika kulazimishana, wewe hebu angalia muitiko wa kuvaa barakoa yani pamoja na watu kumuona Rais anavaa barakoa ila watu hata haijawashtua ndio hao watu watachanjwa kweli kwa hiari?

Hapa ni kulazimisha au kutafuta njia ya kuwatisha kinyume na hivyo tusiongopeana watakaochanjwa watahesabika.
 

Maswali yako yote ya kidwanzi tu. Ndio tatizo la baadhi yetu humu - kujifanya tunajua kumbe hovyo tu!! Wasio na utaalamu ndio wanaotoa tatuzi za kitaalamu na kuuliza vitu vya ajabu!

Fact ni hii - toka tarehe 26/04/2020 Rais alizuia kupima wala kutoa takwimu za maambukizi na vifo. Tukaambiwa corona imekwisha Tanzania!! Unataka tume ukupe taarifa ambazo serikali ilizuia kuzitoa??? Unajua hata kwanini Dr. Ndugulile alitumbuliwa?? Tanzania hii ya leo anayepimwa ni msafiri wa nje ya nchi tu - hata mgonjwa hospitali hapimwi!! Mnabeza barakoa halafu mnataka kujua madhara yake msipozivaa??

Takwimu hukusanywa kwanza kabla ya kufanyiwa upembuzi kuhojiwa!!

Tushukuru sana Mungu mkuu - ugonjwa huu unafikia kuua asilimia ndogo sana ya watu!!!
 
Jisemee nafsi yako. acha kusemea wengine, nani kakwambia hataki chanjo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…