We na kenge wenzako mnaomini mwendakuzimu kafa na hivi vijimafua naweza sema nyie ni maprofesa LIPUMBA vuuu.Unaliwa ? Mwenda zake Yuko wap nguruwe wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We na kenge wenzako mnaomini mwendakuzimu kafa na hivi vijimafua naweza sema nyie ni maprofesa LIPUMBA vuuu.Unaliwa ? Mwenda zake Yuko wap nguruwe wewe
Nchi haiendeshwi kwa hisia lazima tupate mahali ambapo ni official pa kuanzia., mama ilibidi aunde hiyo Tume sasa ripoti imetolewa official muacheni mama aanzie na hapo kabla ya hapo nchi ilikuwa kwenye sintofahamu, mara ugonjwa haupo mara upo lakini tuite ugongwa wa ukosefu wa kupumua mara hivi mara vile.,Hii TUME ILIKUA YA NINI KUNA AMBACHO HAKIJULIKANI?
Sema siko na wewe. Sisi wengine tuko nae wee vipi.Kwenye Hilo tumeingizwa mkenge,sijajua sifa na weledi walionao walioitwa wajumbe wa hiyo tume. Rais wetu tunakupenda lkini kwa hili la chanjo hatuko na wewe kabisaaa.
Hakuna jipya hapo zaidi ya pesa za walipakodi kuchezewaKamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona...
wamchome yeye kwanza aliyeunda kamati then wawachome kamati nzima na familia zao then tuwasikikizieSoon, rais ataambiwa TZ mulichelewa, kopa pesa kwa ajili ya COVID. Naanza kuona anguko letu ili wasema JPM alituponza.
Wewe unajuwa wanaokufa kwa Corona hapa Tanzania ni wangap kwa siku tofauti nan huko India?Ucje ukakubal chanjo hii ngie mwilin mwako bila kujua uwakika wa utendaji kazi mwilin mwako, af kinacho nishangaza apa hao wanao chanja ndo wanakufa wengi kuliko sisi ambao bado hatujaanza kuchanja rate ya vifo ya tz na India vya covid havfanan af kule wana chanjo zao na za kutoka Uingereza , ndo kitu knanfanya nishindwe kuchanganyikiwa
Hahahaa...Kwanza huyu ni Rais wa Katiba tu,Kama sio kubebwa na Magufuri Nani angelikubari Samia awe rais wetu,rais gani nyoronyoro hivi,aende kwao zanzibar sie Watanganyika tulisha choka,kwanza ni mvivu.anawaza misaada tu.
Umeona lakini namna alivyoivaa?Naona mpaka bi miubwa kavaa barakoa amakweli Magu alikua anaipeleka hii nchi kwenye shimo.
We umepigwa chanjo ngapi toka uko mdogo na uko hai mpaka leo? USA karibia nchi nzima wamepata chanjo,same hata UK na Mataifa yote ya ulaya. China, Russia na other big nations za Asia wame fanikiwa kutoa chanjo ya kutosha kwa watu wao. Huko kote wako kwenye mkakati wa kupunguza watu wao miaka michache ijayo kwa kutumia covid19 vaccine?
kachome wewe na wanasiasa kwanza tuwafanyie observationNothing wrong actually, since chanjo zitakuwa huru atachoma aliye na mahitaji nayo ambaye hana mahitajio utatulia nyumbani kwake., na hivi ndivyo wenzetu wanavyoishi sisi tulikuwa tumelala usingizi wa ponoo
unazani watakuletea hii yenye quality lazima watuchanje makapiUnajuaje hawataki? Mimi naona picha hizi za watu wanaosubiri kwenye foleni kupigwa chanjo...
View attachment 1788692
Berlin, Ujerumani terehe 16 Mei
View attachment 1788693
Hamburg, Ujerumani, tarehe 15 Mei
View attachment 1788706
Uingereza, juzi hivi
Names were leaked to mabeberuKama ilikuwa siri mabeberu waliwanunuaje, pasi na kuwafahamu?
Wapumbavu wanawaza kununuliwa wana ushahidi gani. Waseme tu hawataki inatosha na sio visingizio vya mabeberu na kununuliwa. Waseme tu kama corona ipo dfuniani au la.Si mlidai CCM huwa inapika viongozu wazalendo na cjui mmeshaandaa succession plan had 2075 na kwamba kila kiongozi kawekwa na kitengo baada ya vetting ya kutosha. Vipi tena aliyeaminiwa na JPM ndio kanunuliwa? Ina maana CCM hamkujua Rais ana makamu atakayenunuliwa.
Nachokiona CCM haikujiandaa na the unexpected.... Mpo overrated sana kumbe hamna kitu.