Hayo majina ya kamati hiyo yawekwe wazi...hofu ya Nini?!Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo majina ya kamati hiyo yawekwe wazi...hofu ya Nini?!Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona...
Wajinyonge tuKama unampenda sana mwendazake ungeondoka nae.
London Wapi upo busega tu hapoNipo uingeleza na nchi inaendelea kufunguliwa.Sababu ya kufungua nchi ni kupungua kwa vifo na kupungua watu kuzidiwa na kupelekwa hospitali.Lockdown na chanjo ndo ilipelela kufikia hapa sio kingine....
Kaka unapata wapi habari?? Ugonjwa gani hakuna takwimu? Isipokuwa Covid katika Tanzania! Namba ziko tele kuhusu magonjwa kila aina nchini, Ukimwi, Malaria, nini - ila to Covid imefichwa.Mkuu nnachanjo nying kidg na kwa kuwa si mzawa wa 80s m niwa 70s Kama Ni mdogo hutajua... Bt chanjo zote kulikuwa na utafiti wa mda mrefu more than 5_15yrs...
Kipi official hapo ambacho tulikua hatukijui?Nchi haiendeshwi kwa hisia lazima tupate mahali ambapo ni official pa kuanzia., mama ilibidi aunde hiyo Tume sasa ripoti imetolewa official muacheni mama aanzie na hapo kabla ya hapo nchi ilikuwa kwenye sintofahamu, mara ugonjwa haupo mara upo lakini tuite ugongwa wa ukosefu wa kupumua mara hivi mara vile...
Wajinga nchi hii mpo wengi sanaKamati inasema nini?
Inataka kuibua hofu na taharuki kwa wananchi,wananchi wote wanajua kama corona ipo....ya nini kutishana bwana,wakati mwingine anco alikuwa sahihi...wazungu hawatutakii mema kabisa na haya mavibaraka yao.
Usilalamike sana...Unaonaje ukahama nchi tu ili upunguze kero?MTU anaona mwenyewe nchi yake haina SHIDA ya Corona.
Watu hawavai barakoa wala kutumia sanitizer....
yani kwa hili kachemka hata shoe shine hawezi kukubali kuchanjwa watanzania tumeamka sana magufuli aliisha tuweke mguu sawa hatupigwi kizembeUpuuzi kabisa. Wakati nchi zingine zinatoana hofu sisi ndio wanataka waanze kuwaweka hofu wananchi.
Huyu rais bhana
We unakuwa kama mwehuMagu alikua anaipeleka hii nchi kwenye shimo.
Hvi toka lini kutumia chanjo ni kumdhalilisha Mungu? Hvi bila ARVs Tanzania wangekufa watu wangapi? Je kutumia ARVs ni kupinga uweza wa Mungu au ni precaution tu?Chanjo iletwe kwa anayetaka hatutaki kuchwa kwa kulazimishana hapa. Sisi wengine tumaini na tegemeo letu ni Bwana Yesu wa Nazareti aliye hai, ndiye chanjo yetu na mlinzi wetu wa uhakika hatuhitaji kuhusishwa na kuwa sehemu ya huu upuuzi....
Na mie nashangaa..... Takwimu za VVU zinatolewa kila mwaka hapa na saratani ya kizazi pia n.k nashangaa anavyodai eti Covid pekee ndio ina data!!Kaka unapata wapi habari?? Ugonjwa gani hakuna takwimu? Isipokuwa Covid katika Tanzania! Namba ziko tele kuhusu magonjwa kila aina nchini, Ukimwi, Malaria, nini - ila to Covid imefichwa.
Sishangai kama hao walioimba "Hakuna Corona Tanzania" wanashikwa na hofu wakiona imani yao inabomolewa...
Uzuri ni hiari kama tu kipimo cha Covid 19 msiotaka muache wanaotaka wataenda Kwani umeambiwa ni lazima?yani kwa hili kachemka hata shoe shine hawezi kukubali kuchanjwa watanzania tumeamka sana magufuli aliisha tuweke mguu sawa hatupigwi kizembe
Mbona wamesuggest tujenge viwanda vya chanjo na tafiti zifanywe na NIMR au hamuwaamini wataalamu wenu kama wanaweza ng'amua ubora wa chanjo?Names were leaked to mabeberu
Old modelMatumizi mabaya ya kodi za wananchi tu taarifa gani watazitoa zaidi ya porojo tu hv watanzania wanaitaji tume kuja kuambiwa wavae barakoa,wanawe mikono na maji tiririka ,wakae social distance kweli? Maana hakuna jipya watakalokuja nalo zaidi ya porojo hizo...
Mkuu unajua series ya takwimu za cvd?? Je uliwahi kuona ukimwi au malaria inakuja na takwim daily... Au ukwimu? Takwim zpi ila zinatolewa kwa anaezitaka and for events purposed... Sasa unajua kwa nn tz tuna ishi bila woga? Japocvd ipo??? Umewahi kujiuliza?? Unajua nn kinasababisha??? Think out without boarders....Na mie nashangaa..... Takwimu za VVU zinatolewa kila mwaka hapa na saratani ya kizazi pia n.k nashangaa anavyodai eti Covid pekee ndio ina data!!
Kuna misinformation kubwa sana hapa nchini ndio maana watu wana develop negative attitude kwenye madawa