Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzika kwa aman baba.
That's My President!
Hii chanjo iliyo chini ya mpango wa covax ni ile iliyopigiwa makelele kila kona na wakaamua kuibadilisha hata jina! Nchi nyingi zimeipiga marufuku, halafu mtu anasema chanjo hiyo ni salama (huku akijua kuwa tunafahamu siyo kweli - sijui amewezaje kuikandamiza dhamiri yake!). Wakati baadhi ya watu wamekufa kwa damu kuganda muda mfupi baada ya chanjo hiyo. Pili hizo chanjo zote hakuna ajuaye madhara yàke ya muda mrefu!! Ninaamini hata huko ulaya sehemu kubwa watakuwa wamechanjwa placebo (maji) na wachache ndo wametolewa mhanga wafanyiwe majaribio!!View attachment 1789753
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya kamati maalum ya corona kutoka kwa Profesa Said Aboud.
Kamati maalum ya Corona Tanzania iliyoundwa na rais Samia Suluhu Hassan mwezi uliopita imewasilisha ripoti yake hii leo huku ikisema kuwa chanjo dhi ya ugonjwa huo ni salama na zimeonesha ufanisi.
Kamati hiyo imeishauri serikali kupitia vyombo vyake kulishughulikia suala la chanjo kwa kujiunga na mpango wa covax ulio chini ya mwamvuli wa Gavi.
Mpango wa covax unalenga kuhakikisha nchi masikini kote duniani zinapata mgao sawa wa chanjo licha ya ufinyu wa uwezo wao wa kiuchumi. Mwamvuli wa Gavi unaundwa na mashirika mbalimbali ikiwemo Shirika la Afya Duniani na baadhi ya serikali za nchi tajiri duniani.
"Kamati inashauri Serikali kwa kutumia vyombo vyake iendelee na hatua kuelekea kuruhusu matumizi huru ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa kutumia chanjo zilizoorodheshwa na Shirika la Afya Duniani ili kuwapa fursa ya kinga wananchi wake kwa kuwa kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo hizo zina ufanisi na usalama unaokubalika kisayansi," ameeleza Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili na Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Hata hivyo kamati imetaka mamlaka zilizo chini ya serikali kuendelea kutoa ushauri juu ya jambo hilo.
"Pamoja na mapendekezo haya, Kamati Huru ya Kitaifa ya Ushauri wa Chanjo (NITAG) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ziendelee kushirikishwa katika kutoa ushauri na kudhibiti chanjo hizo," ameeleza Prof Aboud.
Baada ya kamati kutoa ushauri wake, ni jukumu sasa la serikali chini ya Rais Samia kutekeleza mapendekezo hayo.
Mapendekezo ya kamati kuhusu chanjo ya corona yanapingana na sera ambayo nchi hiyo iliitekeleza wakati wa hayati rais John Magufuli ambaye alipinga chanjo hizo kabla ya kufariki akiwa madarakani mwezi Machi na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa makamu wake Mama Samaia. Msimamo wa Magufuli juu ya chanjo na kudhibiti ugonjwa huo ulipingwa vikali nadni na nje ya nchi hiyo.
Kipaumbele cha utoaji wa chanjo dhidi ya COVID-19
Kamati hiyo imependekeza matumizi huru ya chanjo nchini Tanzania, hii ikimaanisha kuwa hakutakuwa na mtu atakayeshurutishwa kuchoma chanjo hiyo kinyume na matakwa yake binafsi.
Hata hivyo, kamati pia imependekeza pale chanjo itakapoingia Tanzania kuwe na makundi maalumu
Kundi la kwanza ni wahudumu katika vituo vya kutolea huduma za afya na watumishi walio katika mstari wa mbele wa utoaji wa huduma mathalani watumishi sekta ya utalii, hoteli, mipakani, viongozi wa dini na mahujaji.
Kundi la pili ni wazee na watu wazima kuanzia umri wa miaka zaidi ya 50, kundi la tatu ni watu wazima wenye maradhi sugu mengine mathalani kisukari, shinikizo la damu, maradhi ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya figo.
Makundi mengine ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama; na wasafiri wanaokwenda nje ya nchi.
Vipi kuhusu takwimu na 'lockdown'?
Kuhusu utolewaji wa takwimu wa mara kwa mara juu ya mwenendo wa ugonjwa huo, kamati imeitaka serikali kurejea katika utaratibu huo. Mara ya mwisho kwa takwimu za ugonjwa huo kutolewa kila siku ilikuwa ni mwaka mmoja uliopita.
"Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa COVID-19 kwa umma na Shirika la Afya Duniani ili wananchi wapate taarifa sahihi toka Mamlaka za Serikali na kuheshimu makubaliano na kanuni ambazo nchi iliridhia," imeshauri kamati.
![]()
Maelezo ya picha,
Profesa Said Aboud akisoma taarifa ya tume aliyoiongoza mbele ya waandishi wa habari Ikulu, Tanzania.
Kuhusu kujifungia kama njia ya kudhibiti kasi ya maambukizi, kamati imeishauri serikali "kuendelea kuzingatia mazingira ya kitanzania katika udhibiti wa ugonjwa wa COVID-19 katika kuamua kuweka au kutokuweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia katika uchumi."
Rais John Magufuli aliweka hadharani wakati janga hilo lilipoipiga nchi hiyo mwaka jana na kusisitiza mapema mwaka huu kuwa katu chini ya utawala wake asingetekeleza sera hiyo ya 'lockdown' kutokana na athari za kiuchumi ambazo zingejitokea. Hatua hiyo pia ilichangia kukosolewa vikali kwa utawala wake.
Kuhusu athari za kiuchumi kwa ujumla wake, kamati imeshauri wizara yenye dhamana ya fedha na uchumi ifanye tathmini ya kina ya athari za janga la COVID-19 na kuweka mpango madhubuti wa haraka wa sasa, wa muda wa kati na wa muda mrefu unaotekelezeka ili kukuza uchumi wa Tanzania. chanzo. 'Chanjo ya Corona ni salama na fanisi' - BBC News Swahili
Maajabu hayaishi duniani mkuu, utafiti wa wiki mbili umekuja na matokeo kwamba chanjo ya covid-19 ni salama na imeonyesha ufanisi, sisi yetu macho na masikio kadri Mwenyezi Mungu anavyotupa uhai....Hii chanjo iliyo chini ya mpango wa covax ni ile iliyopigiwa makelele kila kona na wakaamua kuibadilisha hata jina! Nchi nyingi zimeipiga marufuku, halafu mtu anasema chanjo hiyo ni salama (huku akijua kuwa tunafahamu siyo kweli - sijui amewezaje kuikandamiza dhamiri yake!). Wakati baadhi ya watu wamekufa kwa damu kuganda muda mfupi baada ya chanjo hiyo. Pili hizo chanjo zote hakuna ajuaye madhara yàke ya muda mrefu!! Ninaamini hata huko ulaya sehemu kubwa watakuwa wamechanjwa placebo (maji) na wachache ndo wametolewa mhanga wafanyiwe majaribio!!
Niwapongeze kamati kwa kusema hiyo chanjo itakuwa ya hiari, kama majaribio ya chanjo yanavyokuwa.
Finaly we are here, wanaotaka chanjo wasinyimwe haki yao, na wasiotaka pia waheshimiwe, sijui mwendazake angekua macho angesemajeView attachment 1789753
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya kamati maalum ya corona kutoka kwa Profesa Said Aboud.
Kamati maalum ya Corona Tanzania iliyoundwa na rais Samia Suluhu Hassan mwezi uliopita imewasilisha ripoti yake hii leo huku ikisema kuwa chanjo dhi ya ugonjwa huo ni salama na zimeonesha ufanisi.
Kamati hiyo imeishauri serikali kupitia vyombo vyake kulishughulikia suala la chanjo kwa kujiunga na mpango wa covax ulio chini ya mwamvuli wa Gavi.
Mpango wa covax unalenga kuhakikisha nchi masikini kote duniani zinapata mgao sawa wa chanjo licha ya ufinyu wa uwezo wao wa kiuchumi. Mwamvuli wa Gavi unaundwa na mashirika mbalimbali ikiwemo Shirika la Afya Duniani na baadhi ya serikali za nchi tajiri duniani.
"Kamati inashauri Serikali kwa kutumia vyombo vyake iendelee na hatua kuelekea kuruhusu matumizi huru ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa kutumia chanjo zilizoorodheshwa na Shirika la Afya Duniani ili kuwapa fursa ya kinga wananchi wake kwa kuwa kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo hizo zina ufanisi na usalama unaokubalika kisayansi," ameeleza Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili na Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Hata hivyo kamati imetaka mamlaka zilizo chini ya serikali kuendelea kutoa ushauri juu ya jambo hilo.
"Pamoja na mapendekezo haya, Kamati Huru ya Kitaifa ya Ushauri wa Chanjo (NITAG) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ziendelee kushirikishwa katika kutoa ushauri na kudhibiti chanjo hizo," ameeleza Prof Aboud.
Baada ya kamati kutoa ushauri wake, ni jukumu sasa la serikali chini ya Rais Samia kutekeleza mapendekezo hayo.
Mapendekezo ya kamati kuhusu chanjo ya corona yanapingana na sera ambayo nchi hiyo iliitekeleza wakati wa hayati rais John Magufuli ambaye alipinga chanjo hizo kabla ya kufariki akiwa madarakani mwezi Machi na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa makamu wake Mama Samaia. Msimamo wa Magufuli juu ya chanjo na kudhibiti ugonjwa huo ulipingwa vikali nadni na nje ya nchi hiyo.
Kipaumbele cha utoaji wa chanjo dhidi ya COVID-19
Kamati hiyo imependekeza matumizi huru ya chanjo nchini Tanzania, hii ikimaanisha kuwa hakutakuwa na mtu atakayeshurutishwa kuchoma chanjo hiyo kinyume na matakwa yake binafsi.
Hata hivyo, kamati pia imependekeza pale chanjo itakapoingia Tanzania kuwe na makundi maalumu
Kundi la kwanza ni wahudumu katika vituo vya kutolea huduma za afya na watumishi walio katika mstari wa mbele wa utoaji wa huduma mathalani watumishi sekta ya utalii, hoteli, mipakani, viongozi wa dini na mahujaji.
Kundi la pili ni wazee na watu wazima kuanzia umri wa miaka zaidi ya 50, kundi la tatu ni watu wazima wenye maradhi sugu mengine mathalani kisukari, shinikizo la damu, maradhi ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya figo.
Makundi mengine ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama; na wasafiri wanaokwenda nje ya nchi.
Vipi kuhusu takwimu na 'lockdown'?
Kuhusu utolewaji wa takwimu wa mara kwa mara juu ya mwenendo wa ugonjwa huo, kamati imeitaka serikali kurejea katika utaratibu huo. Mara ya mwisho kwa takwimu za ugonjwa huo kutolewa kila siku ilikuwa ni mwaka mmoja uliopita.
"Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa COVID-19 kwa umma na Shirika la Afya Duniani ili wananchi wapate taarifa sahihi toka Mamlaka za Serikali na kuheshimu makubaliano na kanuni ambazo nchi iliridhia," imeshauri kamati.
![]()
Maelezo ya picha,
Profesa Said Aboud akisoma taarifa ya tume aliyoiongoza mbele ya waandishi wa habari Ikulu, Tanzania.
Kuhusu kujifungia kama njia ya kudhibiti kasi ya maambukizi, kamati imeishauri serikali "kuendelea kuzingatia mazingira ya kitanzania katika udhibiti wa ugonjwa wa COVID-19 katika kuamua kuweka au kutokuweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia katika uchumi."
Rais John Magufuli aliweka hadharani wakati janga hilo lilipoipiga nchi hiyo mwaka jana na kusisitiza mapema mwaka huu kuwa katu chini ya utawala wake asingetekeleza sera hiyo ya 'lockdown' kutokana na athari za kiuchumi ambazo zingejitokea. Hatua hiyo pia ilichangia kukosolewa vikali kwa utawala wake.
Kuhusu athari za kiuchumi kwa ujumla wake, kamati imeshauri wizara yenye dhamana ya fedha na uchumi ifanye tathmini ya kina ya athari za janga la COVID-19 na kuweka mpango madhubuti wa haraka wa sasa, wa muda wa kati na wa muda mrefu unaotekelezeka ili kukuza uchumi wa Tanzania. chanzo. 'Chanjo ya Corona ni salama na fanisi' - BBC News Swahili
Huwa nikiona picha ya mwenda zake napata mixed feelings, hasira na mshangao at the same time
Waifanyie wapi na lini? Hamna kitu hapoNdani ya muda mfupi kamati inahitimisha kwamba chanjo ni salama! Wameifanyia utafiti kufikia hilo hitimisho?!
Halafu ili kutudanganya wamecopy na kupaste mavolume ya vitabu sijui nani atayasoma hayo mavitabu, kwanza siamini kuwa kwa muda mfupi kiasi hiki wameweza kuandika mihutasari/ripoti na taarifa za kitibabu kwa hayo mavitabu na mwisho hakuna tafiti ya kitibabu inakuwa tayari kwa muda mfupi namna hiyo pia ripoti inatakiwa ituambie na madhara ya hizo chanjo, muda wa kutumia au kutokutumia, hayo yote hayajazungumziwa hadharani wakati yalitakiwa yaongelewe hadharani ili kutoa wasiwasi kwa wananchi,haitoshi tu kusema chanjo hii ni salama ,tusisahau hawa hawa watalaamu wetu ndio walisema GMO inatufaa, ni hawa hawa watalaamu wetu wameruhusu wakulima watumie dawa ya uuawa magugu ya Roundup itumike wakati huko huko Marekani inakotengenezwa imepigwa marufuku na hadi vibao vya matangazo vimewekwa jwenye highway zao kupiga marufuku dawa hiyo lakini huku kwetu hadi sasa imejaa maduka ya dawa na bado inatumiwa na wakulima . Mwendazake hakuwa mjinga alipokuwa na wasiwasi na hata aliposema mashine za kupima virusi vya corona vina matatizo wengi walimkebehi lakini mwisho wake ikawa aibu kwao baada ya kugundulika hizo mashine kuwa zina matatizo na nchi kadhaa kuacha kuzitumia.Maajabu hayaishi duniani mkuu, utafiti wa wiki mbili umekuja na matokeo kwamba chanjo ya covid-19 ni salama na imeonyesha ufanisi, sisi yetu macho na masikio kadri Mwenyezi Mungu anavyotupa uhai....
Mkuu umeeleza vyema kunawatu wanataka kutufanya Kama viziwi yaan wao ndo wanasikia tuuuuuu... Anyway tunakwenda kuangamizwa bure kwa kutiwa hofu ili watu wafe kwa hofu... Sa iv wanafunzi wanasoma kwa aman kabisa, watu wanasafri bila kuogopana, wanasafrisha bidhaa na kuuza bila shida kabisa... Kunastarehe za kila aina na n.kTangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.
Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.
Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.
Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.
Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.
Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?
Na Chadema nao wanashqngilia?