Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni

Tunajua
Kuna watu wamepandikizwa na maadui wa kibiashara wa ATCL waiuwe kwa faida yao. Ni vita kubwa ya kibiashara inaendelea. Kwa kutambua au kwa kutokutambua unaweza kujikuta nawe uko kwenye trap hiyo.

Historia ya ATCL inajulikana na madeni waliyorithi yanajulikana. Changamoto ya sekta hii iliyosababishwa na Corona pia inajulikana. Nini sasa cha ajabu na hilo deni.

Unajua KQ wana deni na hasara kiasi gani? Unajua ET mwaka huu wamepata hasara ya kiasi gani. Angalia pia mashirika mengine .
 
Hahahaaaa. Tanzania, Tanzania, Tanzania... Nakupenda kwa moyo wangu...
Sasa hivi ni mwezi wa tatu ATCL hakuna timetable sahihi ya safari zao, unaweza ukakata ticket ya leo na ndege ikaondoka kesho kutwa, ukiuliza unaambiwa kulikua na matengenezo ya ndege. Unaweza ukakata ticket ya kwenda KIA ukapelekwa mwanza.
 
Wafanye kazi kwa weledi,waache uzembe na kuleta lawama.
 
Watakuja na maneno yao mara nchi fulan mbona walipata hasara mbona ata kenya ivyo ivyo ,nchi hii tuna viongoz fuata upepo unakuta kiongoz ana cheo kizur anaongoza watu analipwa vzur kumbe kichwan kaweka maslai yake sio wananchi ndio kiongoz unamsikia mbona marekan tozo zipo mbona Uk bando bei juu utafikir hajui tofaut iliyopo marekan na tz viongoz wetu ni watu wa kujitoa ufaham sana
 
Tz wanafiki munampenda Mtu akiondoka.
 
Unazikumbuka zile mbwembwe kuwa tutakuwa tunawapata Watalii straight toka Marekani kwakuwa sasa tuna ndege zetu wenyewe??
 

What goes around comes around, hivi fast jet ilifanywaje hadi ikaacha Safari zake hapa nchini. Ndiyo hao maadui siyo
 
Umeshajibiwa hapa chini


Na kumbuka kwamba hasara wanazopata mashirika mengine ndio ilikuwa sababu kubwa ya kupinga uendawazimu wa kununua ndege kwa kukurupuka.

Sasa leo mnatumia sababu zilezile mlizokataa kuzisikiliza wakati huo, ikimaanisha bado mna opofu usiotibika.

Suala la kusingizia wahujumu waliopandikizwa ni utopolo mtupu
 
Hawa si waliiondoa Fastjet sasa wacha wakule Karma yao.
 
ngumu kumeza, anyway tuna safari ndefu ya kusaka maendeleo
 

Kwani ATCL ilifufuka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…