Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni

Wafanye kazi kwa weledi,waache uzembe na kuleta lawama.
zaweza uzwa kwa mtu binafsi na ushangae yeye akazindesha vizuri tu ama wazigeuze ziwe za kutembelea viongozi tu
 

Hii ni dalili” ajabu sana, kwa hizo figures Ina maana ATCL doesn’t exist, sasa itakufaje?
 
Kuna jibu gani hapa? Kweli hizi porojo ndizo unaona ni majibu. Be serious
 
Hivi wewe hao jamaa wanakulipa ngapi kwa kampeni hii? Tunajua wazi unafanyakazi hii kwa malipo. Tujulishane mwenzetu umeahidiwa kupewa kiasi gani?
 
Kwahio na zile ndege tulizoongezea nabado tunaongezea tunazidi kuchoma tu pesa ?
 
Walipobaki wenyewe baada ya Fastjet kufukuzwa nchini walifikiri kuwa wameula kumbe wameula wa chui!
View attachment 1916474
Ni roho mbaya tu, watu tulikuwa tunapanda fastjet kwa bei cheee...chaap chaap.
Sasa ona madude yanawapa hasara hawasemi.Wanaugulia rohoni,sasa ripoti zinawaumbua..tena uzuri ni ripoti kutoka kwao hakuna wapinzani.
 
Hawa walijinasibu kuwa shirika linajiendesha kwa faida sasa likoje mahututi tena?
 
Sio mbili mkuu nasikia ni 3 tena moja lile likubwa la dreamliner na 2 airbus. Lakini mimi najiuliza, nini kifanyike ili hilishirika lisife? Tunakwama wapi?
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.
 
Na hawa majizi bado yanaongeza ndege tu pamoja na hasara ná deni kubwa!!! Hakuna hata kusema ngoja tutafakari kwanza kama ni muhimu kuendelea na hii biashara ya safari za anga kwani kwa miaka mitano hasara ni 354 billions na deni ni 473 billions.
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…