Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya

1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga
2. Rushwa
3. Unyanyasaji
4.kupendeleana kwenye vyeo
5. Mafunzo
 
Mifumo yote na taasisi zote za kimamlaka kwa sasa zimeoza. Kitendo cha CCM kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti muda mrefu, tusitegemee mabadiliko yoyote ya maana kwa hilo jeshi la polisi. Mabadiliko wanayoweza kuyafanya ni madogo madogo, lakini sio ya kiutendaji yanayolalamikiwa sasa. Sana sana wakifanya mabadiliko yatakuwa ni kubadili rangi ya uniforms za polisi, lakini sio utendaji.
 
Back
Top Bottom