Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimaliza wanapata misosi na bahasha kede.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi. Wa pili kulia ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Juma Simba Gadafi, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na wa kwanza kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire.
..binadamu mwenyewe ni Chura binti kiziwi..full kusifu na kupambaWakimaliza wanapata misosi na bahasha kede.
Kisha wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu binadamu