Kamati ya kuisimamia zabuni ya mwekezaji wa Simba kuzungumza na waandishi wa habari kesho

Asante kwa taarifa tunasubiri matokeo ya mchakato....tuwekeze kwenye Club yetu...mambo ya kutuguwia hisa sawa sawa yaani mimi mwenye uwezo kupewa hisa sawa na yule babu anaeshinda clubuni kuanzia asubuhi hadi jioni bila kazi...arafu naambiwa mimi na yeye ni wamiliki sawa ..ila gabachori nooma... yeye atapewa hisa za kumwaga atutawale na baadae aje anunue hisa za hao washinda vibarazani kwani hawatukuwa wanazihitaji tena (especially hiki kipindi cha kuisoma number)..Asikudanganye mtu eti Viongozi wa Club wapo makini hamna kitu kama hicho kwanza kabisa viongozi wote waliopo sasa ni wahindi koko which means wana uhusiano na ghabachori atakayepewa timu...Pia jiulizeni kwanini viongozi waliopitwa wamesweka ndani hasa baada ya kumzunguka Gabachori wakaingia mkataba na Sportspesa bila kumshirikisha...ni kwamba waliona mbali hawakumtaka gabachori ambaye ana ajenda sawa na watua siojulikana kuifanya club ya Simba iwe tawi la pili la CCM kama ilivyo yanga...Duh..Mungu tusaidie
 
Unaweza kutoa hoja zako bila kutumia maneno ya kibaguzi
 
Mizunguko yote hii kuhalalisha kumpa timu Mo. Msisahau katika zile Billion 20 tayari keshatumia 1.3 billion usajili msimu huu. Bado anaendelea kulipa mishahara na vitu vingine. Kifupi, billion 20 inakaribia kuisha.
Hiyo asilia 10 ya hisa kwa wanachama sawa na billion 5 ndiyo mtegemee kwa wakati huu . Wanachama wetu hata ada walikuwa wakilipiwa. Sasa hizo hisa watanunua kweli? Asilimia 40 sawa na billion 15 wanunue watu wengine lakini siyo Mo. Nani atamzuia akitumia kampuni nyingine?

Na hiyo value ya 50% kuwa billion 20 ilipatikana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…