Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutoa hoja zako bila kutumia maneno ya kibaguziAsante kwa taarifa tunasubiri matokeo ya mchakato....tuwekeze kwenye Club yetu...mambo ya kutuguwia hisa sawa sawa yaani mimi mwenye uwezo kupewa hisa sawa na yule babu anaeshinda clubuni kuanzia asubuhi hadi jioni bila kazi...arafu naambiwa mimi na yeye ni wamiliki sawa ..ila gabachori nooma... yeye atapewa hisa za kumwaga atutawale na baadae aje anunue hisa za hao washinda vibarazani kwani hawatukuwa wanazihitaji tena (especially hiki kipindi cha kuisoma number)..Asikudanganye mtu eti Viongozi wa Club wapo makini hamna kitu kama hicho kwanza kabisa viongozi wote waliopo sasa ni wahindi koko which means wana uhusiano na ghabachori atakayepewa timu...Pia jiulizeni kwanini viongozi waliopitwa wamesweka ndani hasa baada ya kumzunguka Gabachori wakaingia mkataba na Sportspesa bila kumshirikisha...ni kwamba waliona mbali hawakumtaka gabachori ambaye ana ajenda sawa na watua siojulikana kuifanya club ya Simba iwe tawi la pili la CCM kama ilivyo yanga...Duh..Mungu tusaidie
Halafu akibaguliwa yeye povu linamtoka mpaka kusikohusika.Unaweza kutoa hoja zako bila kutumia maneno ya kibaguzi