Kamati ya kutuma na kutolea nini tatizo?

Kamati ya kutuma na kutolea nini tatizo?

entry

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
286
Reaction score
539
Habarini wakuu,

Baada ya hii tozo mpya kwenye mitandao ya simu matarajio yangu wale wanawake wa tuma na ya kutolea watawahi kuchakata mbinu mpya ya kupata pesa ila naona kimya mpaka sasa.

Tu-assume mmeshindwa kubuni njia mpya au bado mpo katika mchakato?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom