Simply ... Ni kamati ya saratani ya Ufisadi.
What comes out of it....Ni kueneza gonjwa kwa taifa lote..
Sisi ? Sisi ? Wewe ngoja tu!!! ...tukaeeee tuuu na kujadili jadili hapa ..na CA inakamata kasi... matokeo yake utasikia mgonjwa imebidi akatwe mguu... Sasa ni hapo, Ok... kama ni Taifa ... Mguu wake ni upi?
Baada ya kipindi utasikia ili kumsaidia mgonjwa imebidi na mguuu wa pili uondolewee...Na Mguuu wa pili kwa taifa la tz ni upi...
The rest? you tell it!!!!
Leo kila mtu ni kiongozi wa Taifa, Madereva wa wa Ubungo wanagoma na kutuo matamshi na waraka wao, Waraka wa katoliki, utakuja wa waislam, waraka wa kuvunja muugano, utakuja wa vijana wa Msimbazi, utakuja wa madaktari na migomo yao, waraka wa EPA, waraka wa Richmond, waraka waraka... Utakuja wa wachezaji..Kila mtu sasa ni kiongozi...Sio saratani hii ni nini?
Leo kamati ya saratani imekaa...Tutegemee nini?
UONGOZI WA TAIFA UKO WAPI????