Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo.

Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na hatimaye kumtoza faini ya Tsh. Milioni 9 pamoja na kutokumruhusu kujihusisha kwa shughuli za mpira wa miguu.


Manara amehukumiwa kutojihusisha na Soka kwa miezi 12 na ametakiwa kulipa faini jumla ya Shilingi milioni 9.
 
Haji manara kifungo miezi 12 faini milioni 9, Muro kifungo miezi 12 Faini milioni 3

HIYO FAINI NA KIFUNGO AMEPEWA HAJI MANARA AUUUUUUUUUUU
 
Maamuzi ya sakata lao yameishaje kwani?
Simba ameendelea kupewa point 3 zake au amepolwa tena?
Sarakasi za TFF ni full vichekesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…