Mapimbi ya Lumumba yanavyojipa moyo , wakati Jiwe mwenyewe na vibaraka wake wanatetemeka presha juu hata hawalali usingizi .Sasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Kwani kuna mtu asiyelipa Kodi kweli nchi hii maana Hadi mtoto aliyetumboni analipa sembuse mtu mzima?Kisheria kila mtu anatakiwa arejeshe hesabu za mapato TRA. Na ili uweze kulipa ikiwa utakuwa umefikia vigezo lazima uwe na namba ya mlipa kodi.(TIN)
Haki elimu waliwahi kusema.."Kandambili sio Kiatu" simply kwa kuwa ilikuwa haifanyiki au hukujua kama inapaswa kufanyika haimaanishi kuwa Haipaswi Kufanyika.
Kila Mtu lazima alipe Kodi, Kwa Maendeleo Jumuishi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo unapokosea...Kwani kuna mtu asiyelipa Kodi kweli nchi hii maana Hadi mtoto aliyetumboni analipa sembuse mtu mzima?
Kwa hiyo alichofanya Magu sawa ???watu wengine wasted spermsWatanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
kuanzia leo Lisu anatakiwa awe anaitwa Chifu Mangungo Tundu Lisu na Amsterdam awe anaitwa Karl Peters Amsterdam tukiwajadili humu jamii forumsTumuunge mkono anayetetea tuache kuibiwa madini yetu
Issue sio madhara ya covid issue ni condition za msaada kuwa unatakiwa utoe takwimu na pia kufuata masharti ya WHO. Kwahiyo anashangaa basis gani inatumika kuwapa msaada ilihali hawatoi ushirikiano?
Ama kuna provision bila limitation na condition?
Ndio hao hao wabelgiji!Leo unawaita wazungu, si mnaitaga mabeberu!
kweli mkuu, mtu aliyewahi kumuita Baba wa Taifa Mnafiki aliyeishi kinafiki eti naye alitaka apewe urais?Shida ya afrika hatuna mfumo bora wa kuwapata viongozi bora yeyeto tu hata kichaaa au aliyekosa malezi Bora utotoni anaokotwa tu na kupewa hivyo upelekea mamilioni ya waafrika kuumia sababu ya mtu mmoja tu.
Wanschotaka kujua ni hayo matumizi yake.... Mdije mkawa mmezipeleka kwenye SGR.Wazungu wanapaswa kuelewa kuwa Tanzania tulipambana na Corona na tukaishinda hivyo msaada tuliopewa na EU ulikuwa ni halali yetu.
Nani asiyejua hatua mbalimbali zilizochukuliwa na serikali kupambana na Corona ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa, kuweka sehemu za jamii kunawa mikono, kufanyia kazi nyumbani, shule na vyuo kufungwa nk nk.
Wazungu watafute sababu nyingine za kutubania misaada lakini hili la Covid 19 wanatuonea bure.
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanafikiri hili litawatoa kimasomaso,
Hili gari limeshaondoka hadi 2025.
Fedha ikishaingia kwenye mfuko mkuu wa Hazina ni mali ya serikali!Wanschotaka kujua ni hayo matumizi yake.... Mdije mkawa mmezipeleka kwenye SGR.
Political persecution...Jiwe hatoki na wapuuzi wenzakeMkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....
Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
Taifa teule? Unajua maana ya Taifa teule?Halafu Mungu alivyo wa ajabu ataendelea kuinua Tanzania kiuchumi bila kujari kelele za Mabeberu na mwisho kabisa ataendelea kuiepusha na majanga yanasumbua Dunia nzima.
Kilicho pangwa na Mungu kamwe hakiwezi kubadilika na Tanzania kwangu ndo Taifa teule lililoteuliwa na Mungu baada ya Israel ya Mussa na wengine kupita.
I love my country [emoji1241]
Ufipa mmezoea kuishi kwa ruzuku!Mapimbi ya Lumumba yanavyojipa moyo , wakati Jiwe mwenyewe na vibaraka wake wanatetemeka presha juu hata hawalali usingizi .
Who is baba wa taifa kwa ulimwengu wa Sasa na kizazi kipya?kweli mkuu, mtu aliyewahi kumuita Baba wa Taifa Mnafiki aliyeishi kinafiki eti naye alitaka apewe urais?