Yani huyu kwa uroho wa madaraka inafikia hatua anatamani siku moja aamke akute tanzania imezama haipo tena.Ngoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU...
Pia haifuati guidelines za WHO in combating Corona, na pia imesema ni Corona free [emoji23] [emoji23]Yaa mwenyekiti anauliza inakuwaje tunatoa pesa za walipa kodi was ulaya kwa nchi ambayo haitangazi statistics za covid 19.
Muongooowalitunyima fedha za mcc tukasambaza umeme kwa vijiji zaidi ya 9000
Demokrasia ipi iliyominywa?
Watu walifanya kampeni lakini kura hazikutosha kwahiyo wajipange kwa 2025.
Jitahidi kujikita kwenye mada husika bwana mdogo. Kama hukuona wizi uliofanyika, basi kichwa yako haiko sawa.
Sawa bwana mdogo, uwe na usiku mwema.wewe ni mkubwa wangu ila huna akili kama unaamini lissu alishinda unatatizo kubwa na akatangaza maandamo bado ukabwekeaa kwenye cm yako hukutoka hata njee shidaa unayo kubwa mnoo kwenye bichwa lakooo
Una maanisha mikwara Beberu? Beberu ana maanisha, endeleeni kushupaza shingo tu. .Hiyo ni mikwara mbuzi tu bwashee!
Mbona huwa nasikia tunatumia pesa zetu za ndani.Hawa watu wanajifanya wasiri sana. Ukisikiliza ule mjadala utagundua kuwa kumbe ni mabingwa wa kutembeza bakuli kwa wazungu wanaowaita mabeberu πππ
Ni wafuasi wa CCM tu ndo wana akili kama hizi za nguruwe pori au kenge
Ukiwa konda daladala nauli ukipewa huulizi hela hii ya kichangudoa au ya kishoga? Magufuli konda daladala la TanzaniaMmekula hela za mashoga lazima mzitapike kwa njia yeyote ile.
Sasa akibaki mnamwasha masasi si akale maisha tu.Lisu anaendelea kuzila tena yeye kahamia kabisa huko huko
Watanzania tulimkataa Magufuli. Akajichagua kwa Kura za kwenye mabegi.Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
Sawa bwana mdogo, uwe na usiku mwema.