Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Vikwazo vya uchumi vya jumla, hapo watawaua wote, yaani pamoja na wanaotaka kututetea.

Kuondoa misaada yote, ni sawa

Vikwazo vya kiuchumi viwe selective. Kwa mfano vikwazo vya kiuchumi wangeweka vifuatavyo:

1) serikali isiruhusiwe kununua silaha wala vipuli

2) Serikali isiruhusiwe kununua magari kwaajili ya maofisa wa Serikali isipokuwa ambulance tu

3) Viongozi wa Serikali, wabunge na familia zao wasisafiri nje ya nchi kwa sababu yoyote ile

4) Serikali isiruhusiwe kukopa kwenye taasisi zozote za fedha nje ya nchi

5) Serikali, CCM na watu wenye mafungamano na Serikali na CCM wasiruhusiwe kununua chochote nje ya nchi zaidi ya madawa au chakula

5) Watu binafsi wenye mafungamano na Serikali au watawala au wabunge, nao pia kama walivyo viongozi wa Serikali na CCM, wawekewe vikwazo vya kibiashara na kiuchumi

NB: Watu binafsi wa kawaida wasiwekewe vikwazo vyovyote vile vya kibiashara wala vya kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Munaosherekea issue hii hamna akili ama kama munazo basi mtakua mnatumika na Mabeberu.
Nchi yetu tunalazimisha kuitia kiberiti.
Ujinga huu umewahi kumwambia aliekuwa anaingiza mabegi yenye Kura?
 
Ukiwa konda daladala nauli ukipewa huulizi hela hii ya kichangudoa au ya kishoga? magufuli konda daladala la Tanzania
Mnawatukana mabeberu chini chini mnaomba hela zao na kuwasingizia wengine wanatumika na mabeberu, umdhaniaye siyo kumbe nye ndo mashoga zamu hii lazima we uwe wa kwanza kufumuliwa marinda
 
Wamesema...
Wakasemaaaa...

SOURCE PLEASE?

#YNWA
 
Mkuu compliance ni ya Tanzania.... Maana EU yenyewe imekupa pesa wewe umetia saini. So wakati wa evaluation kama huu ndio wanakumbushana kwamba huyu uliyempa pesa hajafuata masharti. Sasa wa kujustify ni EU au aliyekiuka masharti?
 
Sasa mliomba pesa za wazungu za nini? Donor country omba omba.

Mimi nipo tayari hata tufe wengine kwa hali ngumu lakini watoto na wajukuu wetu waje waikute nchi nzuri ambayo inaheshimu utu na ustawi wa watu wake wote bila kujali ukanda au itikadi za kisiasa.

Hii nchi ni yetu sote!
 
Wazungu, lakini wanayo agenda chafu kwa afrika siku zote.

Wao ni binadamu wa kwanza kwa mujibu wa akili zao na sisi tunavyopambana rasilimali ziwe na faida kwetu ndivyo tunavyochokoza kile kiburi chao cha bandia.
Unabisha kwamba sio Binadamu wa Kwanza? Niambie mwafrika gani aliwahi kumkoloni Mzungu...mpaka sasa mtu mweusi ameweza nini ikiwa hata uchaguzi mnashindwa kujiamini mnapigia Kura kwenye magodown mnazileta na mabegi kwenye vituo
 
lini China iliweza kutoa misaada ya kibajeti popote hapa duniani ???

China na uturuki ni wafanyabiashara hawacheki na kima wao wanasaka faida za kibiashara tu hawatoi na hawezi kutoa misaada ya kibajeti kwa tanzania.
The bottom line baada ya miaka 60 ya uhuru ni nilazima tujifunze kujitegemea
 
Hahahaha

Mwendo wa kupitisha vibakuli Tu mpaka tufike uchumi wa kati

Tutafika tuu

Wewe mtu anakuambia ati sababu una njaa na huwezi kuhudumia familia yako kiuchumi umpe mkeo azae nae mtoto mmoja ili akusaidie utakubali??

Heri lawama kuliko fedheha
 
Utopolo mtupu. Hebu weka hapa chanzo chako.
 
Walichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
 
Mimi nilijua maandamano yalishindwa. Kumbe watanzania walienda kuandamana kwenye social media hadi ujumbe ukafika.
Mbona wizi wa kura kwa CCM haujaanza leo na watu wamekuwa wakiandama sana tu kwenye mitandao kwa kipindi chote hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…