Sasa kwenye civilised world kuiba ni upunguani"chadema mnaakili mkaibiwa kura"?
No lisu hakushinda kwa sababu bars na visiwani zoezi LA kupiga kura lilivurugwa na tume wakishirikiana na ccm
Kwani nchi nyingine wametolea maelezo... kama wanazihitaji tutawarejeshea taratibuNdio maana wamesema pesa zao lazima mzitolee maelezo ya kueleweka maana ni pesa za walipa kodi wa EU.
Subiri ngoma hii badolini China iliweza kutoa misaada ya kibajeti popote hapa duniani ???
China na uturuki ni wafanyabiashara hawacheki na kima wao wanasaka faida za kibiashara tu hawatoi na hawezi kutoa misaada ya kibajeti kwa tanzania.
Hama nchi shida zote za nini na liinchi la wendawazimu hiloTutafika tuu
Wewe mtu anakuambia ati sababu una njaa na huwezi kuhudumia familia yako kiuchumi umpe mkeo azae nae mtoto mmoja ili akusaidie utakubali??
Heri lawama kuliko fedheha
Sasa mlikuwa mnazinyonya hela za corona za nini na wamesema mikopo mliyoenda kuomba imekataliwa, mtapata baada ya kukosa, mbona CCM mnakuwa wajinga hiviThe bottom line baada ya miaka 60 ya uhuru ni nilazima tujifunze kujitegemea
Nihamie wapi mkuuHama nchi shida zote zanini na liinchi la wendawazimu hilo
Unabisha kwamba sio Binadamu wa Kwanza? niambie mwafrika gani aliwahi kumkoloni Mzungu...mpaka sasa mtu mweusi ameweza nini ikiwa hata uchaguzi mnashindwa kujiamini mnapigia Kura kwenye magodown mnazileta na mabegi kwenye vituo
Yaani Mzee unawapangiaVikwazo vya uchumi vya jumla, hapo watawaua wote, yaani pamoja na wanaotaka kututetea.
Kuondoa misaada yote, ni sawa
Vikwazo vya kiuchumi viwe selective. Kwa mfano vikwazo vya kiuchumi wangeweka vifuatavyo:
1) serikali isiruhusiwe kununua silaha wala vipuli
2) Serikali isiruhusiwe kununua magari kwaajili ya maofisa wa Serikali isipokuwa ambulance tu
3) Viongozi wa Serikali, wabunge na familia zao wasisafiri nje ya nchi kwa sababu yoyote ile
4) Serikali isiruhusiwe kukopa kwenye taasisi zozote za fedha nje ya nchi
5) Serikali, CCM na watu wenye mafungamano na Serikali na CCM wasiruhusiwe kununua chochote nje ya nchi zaidi ya madawa au chakula
5) Watu binafsi wenye mafungamano na Serikali au watawala au wabunge, nao pia kama walivyo viongozi wa Serikali na CCM, wawekewe vikwazo vya kibiashara na kiuchumi
NB: Watu binafsi wa kawaida wasiwekewe vikwazo vyovyote vile vya kibiashara wala vya kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Abu Dhabi ule bata.Nihamie wapi mkuu
Hizo ni jama za wajerumani kupinga kujengwa kwa bwawa la Kufua umeme la Nyerere Kwenye mto Rufiji. Sikilza hapa.Amani iwe nanyi tena wadau!!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
View attachment 1630138
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
3. Wamehoji hadi kwanini walitoa ahadi ya fedha kiasi cha Euro Mil. 27[ Zaidi ya Bilioni 74] za ku support harakati za kupambana na COVID19. Wamembana afisa wao kuhusu vigezo gani vilitumika kuona Tanzania inastahili kupewa hela hizo wakati Tanzania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa nchi iko covid free kutokana na sala.
4. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu.
===
Bunge la Umoja wa Ulaya limetakiwa kutoa maelezo ya kwanini Jumuiya hiyo ilitoa msaada wa kiasi cha euro milioni 27 za kupambana na Covid19 kwa Tanzania, licha ya kufahamu kuwa nchi hiyo imetangaza kuushinda ugonjwa huo.
Akiwasilisha hoja yake, mbunge wa Jumuiya hiyo kutoka Ujerumani, Bw. David McAllister, amesema anataka kufahamu ni namna gani fedha hizo za walipakodi wa bara la Ulaya zimetumika katika nchi ambayo imekataa kutoa takwimu na kufuata miongozo ya WHO.
"Ningependa uwajulishe wajumbe wa kamati yetu juu ya pesa tulizoipatia Tanzania; kulikuwa na vigezo gani vya kutoa pesa hizi, na ni kipi hasa kinachofanywa kwa kutumia pesa hizi", amesema
McAllister alisisitiza kupatiwa majibu ya papo kwa papo, na kama ikishindikana, basi iwe ni ndani ya saa 48.
------
European Union granted 27mil euros of European taxpayers' money to Tanzania to combat the effects of Covid.
Now we have a regime in the country saying that there is no Covid in the country. We've rather bizzare explanations.
So once again, we have a government who's refused to follow guidelines from the WHO; a government that has refused to provide statistics -- and still we are giving them 27mil euros.
I'd like you to inform members of our committee about the money we have given to Tanzania; what were the criteria for giving this money, and especially what is happening with this money.
We'rtalking about European taxpayers' money, and I have difficulties that we grant money to a government which is obviously not/trying to cooperate in a decent manner.
So could please answer my question -- and if you're not able now -- I'd expect you to provide details within 48 hours.
Soma pia >
https://www.jamiiforums.com/threads...4-5-za-michango-ya-covid-19-zimeliwa.1786433/
Ujinga wa nani? Wananchi au viongozi?Vikwazo ni muhimu ili kukomesha ujinga.
Jaribu kufikiri, je kulikuwa na ulazima gani kupakia kura kwenye mabegi??
Hakuna kitu hapo. Hofu ni ishara ya kiongozi dhaifu sisi sio dhaifu. Kwani wao WALITUUMBA?... Wasiposupport wao Hatutakufa... tukula na kunywa mazao tunayo.Johnthebaptist, hii issue si ya kufanyia mzaha - jambo liwezalo kugharimu watanzania ktk sekta zote visababishi vyake ni vya kibinafsi (kundi dogo sana) linanufaika - tutakosa fedha mapambano dhidi ya Ukimwi, elimu, afya, na utawala
Why watu wapambane kufa kupona ili waongoze hata kwa kutumia nguvu na hila za wazi? Ktk hali ya kawaida binadamu unatumia mbinu zilizofichika ili kushinda uchaguzi - mbinu hizo zinapogundulika basi unakuwa mpore na kutii mamlaka za kikatiba. Mfano kuanzia kwenye kura za maoni ndani ya CCM huwa tunashiriki na mwisho wa siku anapotokea mshindi basi tunatulia - vivyo hivyo kwenye uchaguzi mkuu tulitegemea watu kutii mamlaka za kikatiba na taasisi zilizopewa dhamana ya kusimamia shughuli za uchaguzi kuwa very transparent kiasi cha kusifiwa na kila mgombea;
Police, Jeshi na Usalama nao walipaswa kujificha sana na kukaa katikakati ya wagombea wote kama katiba isemavyo - sasa leo utamwona kiongozi wa Police akisimama na kuharalisha taasisi hiyo kuwa sehemu ya chama "If A = B, B = C". Hai kusema kwamba "wewe fulani hautashinda" (Kilimanjaro); hizi ni aibu kwa mujibu wa kikatiba.
Nimalizie kwa kusema kwamba:-
Ni aibu kwa taifa kama Tanzania ambalo wakulima wake bado wanahitaji msaada ili waweza kujikwamua kiuchumi, vijana wanahitaji ajira ili waongeze pato, vifo vya binadamu kwa makundi yao vikiongezeka wakati huo sisi tukiona poa kukosa misaada hiyo. Hebu tuache ushamba wa kisiasa, tuache ubinafsi wa kimadaraka, na kujiaminisha kuwa hakuna athari zitokanazo na kuminywa misaada.
Tusitarabike kisiasa, kiuchumi na kijamii ili taifa liendelee na kustawi.
Msakila M Kabende
Kigoma - Tanzania
Hahaaa boss hebu jiongeze basi kwenye loans and grants wahisani ila kwenye another issue like free and fair mabeberu inakujajeWalichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote, na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
Any way nimawazo yako. Ila tambua Afrika, waanasiasa wabinafsi huziingiza ichi zao kwenye matatizo kwa sababu ya interests zao na si interest za inchi. Kwa akili yako mwenye hati miliki ya kuongoza hii inchi ni ccmTunajua kukosa mkopo ni taabu ila wasitulazimishe kuwa watumwa wao. Walijipanga kuiongoza Tanzania kupitia vibaraka wao sasa wameukosa urais ishakua nongwa
Hawataki tuwaache wakae na pesa zao. Sisi tukitaka mikopo tutaenda kwa marafiki wa utotoni China hata Korea.....tutaokoteza okoteza lakini hatutakufa!
Na baada ya hapo wasitujue sisi wala mali zetu
Shida iko hapa, vijana wengi hamjui athari za kunyimwa misaada na vikwazo vya biashara kwa uchumi wa Nchi masikini kama yetu.Walichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote, na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
Endelea kujifariji kamanda baada ya ni yeye kushindwaNgoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU.
Bado US nao kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nayo ikasitisha kutoa mikopo.
Sasa itakuwa ni zamu yao kuandamana kwenda Ulaya na Marekani kutafuta suluhu.
Kweli kadri giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Je, kuna watu watapigwa chini katika kutafuta suluhu na kuridhisha wahisani?Tusubiri.
NB:Media za kibongo haziwezi kutangaza hizi habari, na hata wakitangaza, basi itakuwa ni kwa kugusigusia tu tena kwa uoga mwingi-ndio tulipofika na sio kosa lao.
Acha kudanganya umma,huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi!View attachment 1629952View attachment 1629953View attachment 1629954