3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ujinga ni relative.Hebu kuwa na adabu wewe, hakuna ujinga ulio ujinga mtupu, hata kwenye wajinga walio werevu wana la kujifunza. Tatizo mnapenda sana kupangiwa kila kitu cha kuongea.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Namaanisha aliyevaa suruali mkuuDaah! Wee jamaa umesababisha nirudi juu ghafla kutazama picha
Dizain kama chombo ya fundi hivi.Itoshe kusema, nimemuelewa mod aliyevaa miwani na suruali kama nyeupe.
Kuna huduma za kulipia, matangazo ya biashara na wahisaniJF inaingizaje fedha?
NB: Hili swali kama huliwezi utulie tuwasubiri wajuzi.
Yule paleInvisible ndio yupo wapi hapo
Duuh kamati imejaa wazee watupu kwa kasi hii ya teknolojia kweli wanaenda nayo maana wanaweza kutumia maudhui waliyofundishwa enzi ya soviet ya zamani leo hivyo kuona kila kitu ni makosa ya kuwafungia watu
Wajaribu kuwekewa na damu changa ili kuwasaidia mawazo mapya
Jiulize we unapata faida gani kuwa humu JF kwanza kabla ya kuuliza JF inapataje faida.JF inaingizaje fedha?
NB: Hili swali kama huliwezi utulie tuwasubiri wajuzi.
Mimi ninafaidika kwa kupata taarifa mbalimbali ndani ya muda mfupi.Jiulize we unapata faida gani kuwa humu JF kwanza kabla ya kuuliza JF inapataje faida.
We mwenyewe ni faida ya JF hujielewi.
Sent from HELL