Hilo JF hawawezi kulikubali na itabidi wana JF tutafute njia nyingine kumchana JiweWasije wakapendekeza tuanze kutumia Nationa ID number kujisajili humu.... ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo JF hawawezi kulikubali na itabidi wana JF tutafute njia nyingine kumchana JiweWasije wakapendekeza tuanze kutumia Nationa ID number kujisajili humu.... ha ha ha
Kumbuka huingii bure humu unatumia data. Wanajua wanavyogawana data na watu wa mitandao. Jiulize Youtube unaagalia bure wanapataje fedha.Mimi,Ninafaidika kwa kupata taarifa mbalimbali ndani ya muda mfupi.
Wewe nusaidie jinsi JF inavyoingiza fedha