Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yatembelea Ofisi za Jamii Forums

Wasije wakapendekeza tuanze kutumia Nationa ID number kujisajili humu.... ha ha ha
Hilo JF hawawezi kulikubali na itabidi wana JF tutafute njia nyingine kumchana Jiwe
 
Mimi,Ninafaidika kwa kupata taarifa mbalimbali ndani ya muda mfupi.
Wewe nusaidie jinsi JF inavyoingiza fedha
Kumbuka huingii bure humu unatumia data. Wanajua wanavyogawana data na watu wa mitandao. Jiulize Youtube unaagalia bure wanapataje fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…