Kamati ya Miss Universe Tanzania inakaribisha warembo wote kwenye usaili wa miss universe 2017

Kamati ya Miss Universe Tanzania inakaribisha warembo wote kwenye usaili wa miss universe 2017

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
index.jpeg

Kamati ya Miss Universe Tanzania chini ya Mkurugenzi na muandaaji wa Shindano hilo Maria Sarungi-Tsehai inawakaribisha Warembo wote kwenye usahili wa MISS UNIVERSE Tanzania 2017.

Vigezo ni:

- Msichana wa miaka 18 -25 - Raia wa Tanzania - Hajaolewa wala hajazaa

- Mwenye mvuto - Anayejiamini na kujitambua Unaweza kuwasiliana na waandaaji kupitia namba 0753103829.

Usahili utafanyika Arusha, Mwanza, Iringa, Mbeya na Dar-es-Salaam.
 
Back
Top Bottom