Kamati ya Nidhamu ya TFF imemfutia adhabu msemaji wa Simba, Haji Manara

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Kamati ya nidhamu TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari Simba Manara sasa kuendelea na majukumu yake.
 
Malinzi alimfungia kwa chuki tu Manara, wakati ni kweli TFF wamejazana kina ushomile na mambo kibao ya ovyo,, ajabu MUNGU alivyomlaani now yeye ndio yupo jela analala mchongoma na mateja ya TANDALE
 
Kamati ya nidhamu TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari Simba Manara sasa kuendelea na majukumu yake.
View attachment 544409
Imetumia vigezo gani vya kumsamehe...waache kuleta Siasa za ukabila na uzandiki kweney michezo...huyu jamaa ana mdomo mchafu hakustahili kufunguliwa...najua wamefanya hivyo kuukuomoa uongozi uliopita...
 
alikata rufaa amesikilizwa. Manara amepeleka ushaihidi ya kile alichoongea hatimaye kamati ya nidhamu imejiridhisha na tuhuma zilizoelekezwa kwa malinzi.
 
Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fair Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fair Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
 
Alibutua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Imetumia vigezo gani vya kumsamehe...waache kuleta Siasa za ukabila na uzandiki kweney michezo...huyu jamaa ana mdomo mchafu hakustahili kufunguliwa...najua wamefanya hivyo kuukuomoa uongozi uliopita...
Imepenya hiyo mkuu

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Abadirike sasa na aache kulialia kila wakati! Anapenda mipasho kila wakati! Hata hivyo kwa sasa wenzao wameajiri msemaji ambaye si wa kariba hiyo! Naamini na yeye Manara atajifunza kitu kutoka kwa Dismas

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…