2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
wazee wa sportpesa..Tarimba kamtoa rafiki yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee wa sportpesa..Tarimba kamtoa rafiki yake
Huyo kazi yake kubwa ni kuwagawia hirizi wachezaji mfano yule papi ndaw alivyokutwa nayo alipewa na manara.Kwani huyu ni Mchezaji no ngapi hapo Simba ndio Yanga iwe ni habari mbaya kwao??
Unataka kusema nini hasaMtasema mengi lakini ukweli nikwamba magu kaingilia kila eneo nakuvuruga sheria na tamaduni husika mihimili yote imeingiliwa na maelekezo yote yanatoka kwake yeye ndo hakimu Jaji Spika Kamishna,IGP yahani kila kitu ila wakati utaongea na muda utafika nayeye ataondoka atakuja mwingine maisha yataendelea.Mungu akiwa upande wetu hakuna aliyejuu yetu.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
manara namkubali sana hapa... this is simba bwana apo2
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fear Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fear Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
Fear game? ndio game gani hiyo?Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fear Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fear Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
FairF
Fear game? ndio game gani hiyo?
Sasa hapa raisi kangiaje tena janeni..dah hata kama hamumpendi lakini not to that extent. Sa hiv mtakuta mtu kajisaidia barazan mtadai rais kaagiza!Mtasema mengi lakini ukweli nikwamba magu kaingilia kila eneo nakuvuruga sheria na tamaduni husika mihimili yote imeingiliwa na maelekezo yote yanatoka kwake yeye ndo hakimu Jaji Spika Kamishna,IGP yahani kila kitu ila wakati utaongea na muda utafika nayeye ataondoka atakuja mwingine maisha yataendelea.Mungu akiwa upande wetu hakuna aliyejuu yetu.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app