Kamati ya Nidhamu ya TFF imemfutia adhabu msemaji wa Simba, Haji Manara

Mtasema mengi lakini ukweli nikwamba magu kaingilia kila eneo nakuvuruga sheria na tamaduni husika mihimili yote imeingiliwa na maelekezo yote yanatoka kwake yeye ndo hakimu Jaji Spika Kamishna,IGP yahani kila kitu ila wakati utaongea na muda utafika nayeye ataondoka atakuja mwingine maisha yataendelea.Mungu akiwa upande wetu hakuna aliyejuu yetu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kusema nini hasa
 
Fear game ndo nini? Na unarudia tena ukisisitiza kuwa unarudia kitu ambacho hukijui. Wewe utakuwa yanga.simba hawez shindwa andika neno hilo la fair yeye akaandik fear.

Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fear Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fear Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
 
Haji alifungiwa kwa sababu alisema ukweli. Acheni KWELI umweke Manara huru. Mambo ya ukabila kwenye michezo yanini? Mnataka kutambika?
 
F
Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fear Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fear Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
Fear game? ndio game gani hiyo?
 
Mtasema mengi lakini ukweli nikwamba magu kaingilia kila eneo nakuvuruga sheria na tamaduni husika mihimili yote imeingiliwa na maelekezo yote yanatoka kwake yeye ndo hakimu Jaji Spika Kamishna,IGP yahani kila kitu ila wakati utaongea na muda utafika nayeye ataondoka atakuja mwingine maisha yataendelea.Mungu akiwa upande wetu hakuna aliyejuu yetu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Sasa hapa raisi kangiaje tena janeni..dah hata kama hamumpendi lakini not to that extent. Sa hiv mtakuta mtu kajisaidia barazan mtadai rais kaagiza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom