Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Mashindano ya Olympic ya video game (Esports) ya kwanza yatafanyika Saudi Arabia 2025.
Esports zimekuwa serious kwa wenzetu, mashindano ya PUBG yanayoendela sasa yana jumla ya zawadi zaidi ya dollar milioni 3 huku N0tail mchezaji number moja wa game ya Dota 2 akiwa ameshinda jumla ya dollar milioni 7 hadi sasa.