KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza.
Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU ambazo zinaweza kufanywa hatimanae GENTAMYCINE aliitwa katika ofsi ya CEO wa Simba Sc na kukabidhiwa MILLION 50 kwa ajili ya kufanya Kila aina ya figusu kwa michezo mitano iliyopo mbele ya Simba.
Jamaa kaanza na MTIBWA SUGAR katafuta waganga anaowaita nguli pale Zanzibar,Bagamoyo na Kigoma ili wacheze mechi ya Mtibwa Sugar.Cha kushangazwa kila walilofanya halikufua dafu (hawakumwambia Popoma wao).
Jamaa anawapigia simu mpaka sasa wamemblock,CEO anataka kujua what's wrong??Genta hana majibu kavurugwa na sare🤣🤣🤣.
USHAURI KWA GENTAMYCINE NA GENGE LAKO.
1.Mpira siyo uchawi,Mtegemee Mungu kila kitu kitakaa sawa.
2.Mkubali mna timu mbovu kuanzia kocha mpka wachezaji next time sajili wachezaji wa kueleweka siyo hawa wahuni (hii itapunguza vifo ambavyo timu yenu imekuwa ikisababisha)
3.Pungezeni mdomo kwa kukariri matokeo ya msimu uliopita.
4.Rudisha hizo pesa kwa CEO aongezee kwenye pesa ya Uwanja (Nadharia).
5.Mmekuwa kama waganga wa kienyeji kutwa kucha kutabiri Yanga kupoteza,Kubalini Yanga ni Timu bora Ili mpate raha mnayoikosa kwa kumtegemea Bocco🤣🤣🤣.
6 Mliekuwa mnamtaka (mnamuimba)kacheza leo na kabanwa p.umb.u na wahuni.Msiwe mnakurupuka kusajili na kurudisha mizee.
Nipo Kigamboni njooni mnipige