Kamati ya rufaa TFF yaridhia Wambura kufungiwa maisha kujihusisha na soka

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
==============================================
KAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imeridhia uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo kumfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais wa shirikisho hilo Michael Wambura.

Taarifa iliyotolewa muda huu inaeleza Kamati ya Rufaa ya Shirikisho hilo imeridhia na uamuzi wa kufungiwa kwa Wambura.

"Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Kabumbu nchini (TFF) imeridhia maamuzi ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo kumfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais(TFF), Michael Richard Wambura"imesema taarifa hiyo ambayo pia imesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.Hata hivyo taarifa zaidi zitakujia muda wowote kuanzia sasa.

Awali kamati ya maadili ya TFF ilikutana Machi 14 mwaka huu kupitia shauri linalomhusu Wambura aliyekuwa anashtakiwa na Sekretarieti ya TFF kwa makosa matatu ya kimaadili.

Sekretarieti ya TFF iliwasilisha mbele ya Kamati mashtaka matatu (3) ambayo ni kupokea /kuchukua fedha za TFF za malipo ambayo hayakuwa halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(1) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

Pia anatuhumiwa kughushi barua ya kuelekeza alipwe malipo ya kampuni ya JEKC SYSTEMS LIMITED huku akijua malipo hayo si halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(7) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

Hivyo kufanya vitendo vinavyoshusha hadhi ya Shirikisho ikiwa ni kinyume na ibara ya 50(1) ya Katiba ya TFF (kama ilivyorekebishwa 2015).

Kutokana na tuhuma hizo Wambura alipelekewa mwito wa kufika mbele ya Kamati Machi 14 mwaka huu ili awasilishe utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili. Wambura alipewa hiari ya kutoa utetezi huo kwa mdomo, kutuma kwa maandishi, kuleta mashahidi au kutuma mwakilishi kama kifungu cha 58 cha Kanuni za Maadili za TFF toleo la 2013 kinavyoelekeza.

Hivyo Wambura alimtuma mwakilishi wake, Wakili Emanuel Muga, aliyefika na kuthibitisha ametumwa na mteja wake (Wambura) kuwasilisha utetezi wake mbele ya Kamati. Baada ya kuelezwa mashtaka yanayomkabili mteja wake, Wakili Muga aliiomba Kamati kuwa mteja wake anaomba kupewa muda wa kupitia shauri hilo ili aandae utetezi, vielelezo, na mashahidi.

Michuzi Blog

Aende CAS kwani TFF imejaa WAPUUZI,jamaa wamemuonea .Yaani kuna baadhi ya matukio hutokea Tanzani pekee yake
1.Unamuhukumu mtu bila yeye mwenyewe kuwepo kujitetea.
2.Kampuni ya JACKS ambayo wanadai wambura kafoji hizo stakabazi,hawajapewa taarifa waje kutoa ushahidi na wala wao wenyewe kuziverify hizo stakabadhi zao.
3.Yote tisa 10 TFF wao wenyewe wanaverify hizo stakabadhi,wakati kwa hapa Tanzania wenye uwezo wa verify document ni TAKUKURU pekee.
Yaani jamaa akienda CAS anashinda kabisa.
 
Sekretarieti ya TFF iliwasilisha mbele ya Kamati mashtaka matatu (3) ambayo ni
1.kupokea /kuchukua fedha za TFF za malipo ambayo hayakuwa halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(1) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

2.Pia anatuhumiwa kughushi barua ya kuelekeza alipwe malipo ya kampuni ya JEKC SYSTEMS LIMITED huku akijua malipo hayo si halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(7) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

3.Hivyo kufanya vitendo vinavyoshusha hadhi ya Shirikisho ikiwa ni kinyume na ibara ya 50(1) ya Katiba ya TFF (kama ilivyorekebishwa 2015).

Huyu Mpiga dili ashauriwe vizuri aachane na mawazo ya TFF, KUNA MAISHA NJE YA TFF.
 
Huuu ni upuuzi mkubwa Wallace karia kaona wambura anampa wakat mgumu kamua kumtoa kwa njia yoyote ile ili apange watu wake
Bora niendele kuwa shabiki wa Uganda cyo taifa stars kwa njia hii hamna maendeleo ya soka la bongo
 
Aende CAS kwani TFF imejaa WAPUUZI,jamaa wamemuonea .Yaani kuna baadhi ya matukio hutokea Tanzani pekee yake
1.Unamuhukumu mtu bila yeye mwenyewe kuwepo kujitetea.
2.Kampuni ya JACKS ambayo wanadai wambura kafoji hizo stakabazi,hawajapewa taarifa waje kutoa ushahidi na wala wao wenyewe kuziverify hizo stakabadhi zao.
3.Yote tisa 10 TFF wao wenyewe wanaverify hizo stakabadhi,wakati kwa hapa Tanzania wenye uwezo wa verify document ni TAKUKURU pekee.
Yaani jamaa akienda CAS anashinda kabisa.
hapo lazima ile kwao maana kwenye katiba kuna kipengele kinamtaka mtoa maamuzi au judge kusikiliza pande zote mbili Right to be heard
 
Mafisadi hayakubaliki. Wambura auache mpira Wa Tz upumue.

Tangu FAT yupo tu ushaona wapi??? Jizi ni jizi hata Rais wetu anapinga ufisadi
 
Kafungiwa na Vitoto Vya "Ngedere" kisha rufaa imepelekwa kwa Wajomba wa "Ngedere"??!

Sidhani kwamba angeshinda rufaa hiyo otherwise Kama alienda ili kutimiza formalities ili akienda CAS iwe rahisi kwake.
 
Kafungiwa na TFF, rufaa ilikuwa inasikilizwa na kamati ya rufaa ya TFF!! Wonders shall never cease
Ambapo ndani yake kuna walioshiriki kumpa hukumu. Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere
 
Zilongwa mbali,zitendwa mbali,Michael wengi wanamuogopa vile hataki uongo
 
==============================================
KAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imeridhia uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo kumfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais wa shirikisho hilo Michael Wambura.

Taarifa iliyotolewa muda huu inaeleza Kamati ya Rufaa ya Shirikisho hilo imeridhia na uamuzi wa kufungiwa kwa Wambura.

"Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Kabumbu nchini (TFF) imeridhia maamuzi ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo kumfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais(TFF), Michael Richard Wambura"imesema taarifa hiyo ambayo pia imesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.Hata hivyo taarifa zaidi zitakujia muda wowote kuanzia sasa.

Awali kamati ya maadili ya TFF ilikutana Machi 14 mwaka huu kupitia shauri linalomhusu Wambura aliyekuwa anashtakiwa na Sekretarieti ya TFF kwa makosa matatu ya kimaadili.

Sekretarieti ya TFF iliwasilisha mbele ya Kamati mashtaka matatu (3) ambayo ni kupokea /kuchukua fedha za TFF za malipo ambayo hayakuwa halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(1) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

Pia anatuhumiwa kughushi barua ya kuelekeza alipwe malipo ya kampuni ya JEKC SYSTEMS LIMITED huku akijua malipo hayo si halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(7) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013.

Hivyo kufanya vitendo vinavyoshusha hadhi ya Shirikisho ikiwa ni kinyume na ibara ya 50(1) ya Katiba ya TFF (kama ilivyorekebishwa 2015).

Kutokana na tuhuma hizo Wambura alipelekewa mwito wa kufika mbele ya Kamati Machi 14 mwaka huu ili awasilishe utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili. Wambura alipewa hiari ya kutoa utetezi huo kwa mdomo, kutuma kwa maandishi, kuleta mashahidi au kutuma mwakilishi kama kifungu cha 58 cha Kanuni za Maadili za TFF toleo la 2013 kinavyoelekeza.

Hivyo Wambura alimtuma mwakilishi wake, Wakili Emanuel Muga, aliyefika na kuthibitisha ametumwa na mteja wake (Wambura) kuwasilisha utetezi wake mbele ya Kamati. Baada ya kuelezwa mashtaka yanayomkabili mteja wake, Wakili Muga aliiomba Kamati kuwa mteja wake anaomba kupewa muda wa kupitia shauri hilo ili aandae utetezi, vielelezo, na mashahidi.

Michuzi Blog

Unajua issue ya huyu jamaa kwanza imenisikitisha lkn pia ilinishangaza sana. Nakuwa na maswali mengi kuliko majibu.
1. Hivi huyu jamaa mbona anapenda sana soccer lkn inaonesha wenzake hawampendi?
2. Hivi ni kweli hufanya hayo mambo au ni figisu tu za kumharibia?
3. Hizi dili kama kweli hufanya, kwa nini hajifunzi hii tabia akaiacha?
4. Je, huyu jamaa huwa hana ushirikiano ktk hizi dili hupiga peke yake tu? Maana hukuti akishtakiwa akiwa na mwingine ni peke yake tu.

By the way anaonekana anapenda sana mpira ila mpira haumpendi
 
Anapenda sana mpira ila wenye system yao hawamtaki.Ndugu usiombee uwe ndani ya system ambayo ,watu wenyesystem yao hawakutaki watakuundia kila zenge kwani unawaharibia kufanya maovu yao,mimi nayajua haya na yashanikuta.
 
Back
Top Bottom