Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Truth should be told, wacheni perepeerepe kwa mpira, stop politicizing football, hams hapo kufurahisha mtu ama viongozi ama fans, sisi mashabiki tuko kushangilia na kuumia, yaani tamu chungu. suala la Mayele vs Ntibasonzika sijui ufungaji bora hakukua na haja ya kuwapatia wote, kwani vigezo vya kuamua vipi wazi kwa mujibu wa kanuni na sheria za CAF na FIFA Ila mkachagua siasa za kufurahisha viongozi wa Simba na Yanga badala ya kufuata vigezo,
Na Tena na pesa ya kuwapatia wote bila kuipiga pasu mkapewa ikapatikana ili mfurahishe, ila ingekua yeote kalingana na mchezaji kutokea kavulamimba fc lazima wa teams zenu za Simba ama Yanga anechukua.
Kuna siku yatawakuta utakuta simba na yanga yenu zinalingana points na magoli ya kufunga.....badala ya kufuata uwaziii na sheria mama za CAF na FIFA mtakua bubu na mtashindwa kutumia kanuni zenye ziko wazi ili muwafurahishe sijui mtalikata kati hilo kombe. tunawadeku TU. ZItachapwa
Acheni uwaki kwenye mambo ya msingi.