Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi!

Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo)

Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa maslahi ya kisiasa au kushinikiza jambo flani!

Hivyo namna pekee ya kutokomeza panya road in kuyabaini makundi yanayoweza kuwa sehemu ya mpango huu!

Haya makundi machache yanaweza kuwa sehemu ya panya road!

1. Polisi au viongozi ndani ya jeshi wanaotaka kumchafua IGP aachie madaraka
2. Wanasiasa wa upinzani wanaotaka kutengeneza ajenda ya ukosefu wa ajira
3. Vikundi vya camp (ma-camp ya vijana) haya ni makundi ya vijana waojipachika majina ya kininja ambayo yapo kila wilaya! Hivyo wanaweza kuwa wanaumoja ambao wamekusudia jambo flani (kinondono Luna black mamba, kigamboni kuna kundi, mbagala, yombo,kawe, chanik, kimaraa n.k

Hivyo nashauri tufanye yafuatayo kuondoa panya road.
1. Kuanzia saa sita usiku barabara zote zinazounganisha wilaya ziwekewe barrier na kila gari inayopita hasa madaladala yapekuliwe abiria wote wenye mabegi mgongoni wakaguliwe kuangalia kama wana silaha mapanga na visu ( kuna uwezekano panya road wanatumia magari ya kukodi)
2. Polisi wawe makini pande zote mfano baada ya tukio la kunduchi Leo temeke/mbagala na kigamboni wakae macho (opposite response principal)
3. Watangaze kwamba kama huna kitambulisho au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa ni marufuku kutembea usiku kuanzia saa sita! Ukaguzi ufanyike na miongoni mwa adhabu nikuwashikilia wote hadi asubuhi wanaobainika kutembea mida hiyo pasipo vitambulisho.
4. IGP au Mkuu wa nchi atangaze kufuta kazi OCD au RPC atakaebainika mtaani kwake kuna vamia hovyo!
5. Vibaka wanaokamatwa na kubainika wapigwe shaba pasipo kulemba! Na itangazwe pasipo kumung'unya maneno!
6. Namba ya huduma ya miito ya polisi iboreshwe na itangazwe watu wapige simu kutoa taarifa za haraka
7. Magari yatakayotumika na kukamatwa kwa kubeba panya road yataifishwe na madreva wake waunganishwe kwenye uhalifu!
 
Umenena Mkuu, pointi zipo mahali pake
 
Write your reply...licha ya panya road kukamatwa inabidi utafutwe mzizi wa hya yote,ila bila hvyo ni sawa unakata matawi ya mti ila mzizi upo yatamea tu.
 
Kabisa mkuu
 
Watu wenye akili likitokea tatizo katika jamii hujiuliza kwann!? Why!???
Kuna tatizo kubwa sana Tanzania tena tushukuru Mungu hakuna watu wenye nia mbaya vinginevyo hawa panya road wangekuwa WAASI !!! Lazima utafutwe mzizi wa tatizo
Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi!

Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo)

Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa maslahi ya kisiasa au kushinikiza jambo flani!

Hivyo namna pekee ya kutokomeza panya road in kuyabaini makundi yanayoweza kuwa sehemu ya mpango huu!

Haya makundi machache yanaweza kuwa sehemu ya panya road!

1. Polisi au viongozi ndani ya jeshi wanaotaka kumchafua IGP aachie madaraka
2. Wanasiasa wa upinzani wanaotaka kutengeneza ajenda ya ukosefu wa ajira
3. Vikundi vya camp (ma-camp ya vijana) haya ni makundi ya vijana waojipachika majina ya kininja ambayo yapo kila wilaya! Hivyo wanaweza kuwa wanaumoja ambao wamekusudia jambo flani (kinondono Luna black mamba, kigamboni kuna kundi, mbagala, yombo,kawe, chanik, kimaraa n.k

Hivyo nashauri tufanye yafuatayo kuondoa panya road.
1. Kuanzia saa sita usiku barabara zote zinazounganisha wilaya ziwekewe barrier na kila gari inayopita hasa madaladala yapekuliwe abiria wote wenye mabegi mgongoni wakaguliwe kuangalia kama wana silaha mapanga na visu ( kuna uwezekano panya road wanatumia magari ya kukodi)
2. Polisi wawe makini pande zote mfano baada ya tukio la kunduchi Leo temeke/mbagala na kigamboni wakae macho (opposite response principal)
3. Watangaze kwamba kama huna kitambulisho au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa ni marufuku kutembea usiku kuanzia saa sita! Ukaguzi ufanyike na miongoni mwa adhabu nikuwashikilia wote hadi asubuhi wanaobainika kutembea mida hiyo pasipo vitambulisho.
4. IGP au Mkuu wa nchi atangaze kufuta kazi OCD au RPC atakaebainika mtaani kwake kuna vamia hovyo!
5. Vibaka wanaokamatwa na kubainika wapigwe shaba pasipo kulemba! Na itangazwe pasipo kumung'unya maneno!
6. Namba ya huduma ya miito ya polisi iboreshwe na itangazwe watu wapige simu kutoa taarifa za haraka
7. Magari yatakayotumika na kukamatwa kwa kubeba panya road yataifishwe na madreva wake waunganishwe kwenye uhalifu!
 
na kweli haya makundi yakuwa na majina tena yanakuwa na viongozi wao
kuna moja huko Vingunguti linaitwa Dege la jeshi kipindi hicho lilikuwa balaa
 
Yapo kila magali ma-camp hayo ndiyo panya road wenyewe na yanajulikana kabisa sasa wakiungana huwa ni jeshi kamili kufanya operations zao
 
Back
Top Bottom