Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.
Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.
Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini aisee? Hawa jamaa sio level ya Simba. Hawaeleweki na hawajui nini wanatakiwa kufanya zaidi ya kukimbia na kuanguka ovyo uwanjani.
Bado kuna mrundi Kibu aisee huyu jamaa ni kichomi, anachojua yeye ni kukaa na mpira muda mrefu ili afanyiwe fouls, hana maamuzi mazuri uwanjani anachojua ni kukimbia tu pale anapopewa mpira mwisho wa safari akiguswa kidogo ni kuanguka na kubingirika.
Yaani mara mia angecheza Awesu Awesu. Kamati ya Usajili iache janja janja kutafuna pesa za mwekezaji bila ya huruma. Pia Shabalala na Kapombe watupishe kwenye timu, ni aina ya zile beki namba mbili na tatu na zamani ambao wao hukaa nyuma na kuwaacha mawinga mbele.
Timu inakosa balance kwenye kushambulia na hawa tunaposhambuliwa sio wazuri kuzuia. Wat watatu nyuma ya Ateba ni ovyo pamoja na mabeki wa pembeni.