Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

Punguza jazba ayo ni mambo ya Wazazi na mambo ya wazazi yanajadiliwa chumbani.....

Vip unataka uingie chumbani..?

Vip Rufaa yenu? Au umerizika kununua nafasi ya Shirikisho?
Kma ni inxhu za room apa mmeleta za nn lipen salar bhana
 
kama kawaida yetu kombe la nne mfululizo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ngoma na bussou must stay
 
Kama tunapigwa na mbao mechi mbili mfululizo hii ni dalili mbaya sana kwa timu, inatakiwa ifanyiwe overall restructuring ikiwemo viongozi na benchi la ufundi vinginevyo tusubiri maumivu
 
Yanga ni timu isiyo na pupa wala papara acha wa matopeni waweweseke sisi tunafanya mambo kwa uhakika...
Miezi minne wachezaji wanapiga miayo![emoji43] [emoji43] [emoji13] [emoji13]
 
Punguza jazba ayo ni mambo ya Wazazi na mambo ya wazazi yanajadiliwa chumbani.....

Vip unataka uingie chumbani..?

Vip Rufaa yenu? Au umerizika kununua nafasi ya Shirikisho?
Jamani kama kuna mtu Ana ile picha ya simba walivyoenda mwanza kwa kutumia ndege ilikuwa inawaonyesha wakigombea seat,wengine wanaambiana wafungue dirisha kwani ndani ya ndege kuna joto ituwekee hapa tujikumbushe
 
Reactions: Oxx
Waache majungu ,kutowashirikisha mwambusi na lwandamina kwenye usajili ,kujifanya wajuaji kuliko walimu na pia kuwatenga

Kuna jamaa mkubwa tu pale yanga niliwasikia na nilichosikia nilibaki kusikitika tu
 
Jamani kama kuna mtu Ana ile picha ya simba walivyoenda mwanza kwa kutumia ndege ilikuwa inawaonyesha wakigombea seat,wengine wanaambiana wafungue dirisha kwani ndani ya ndege kuna joto ituwekee hapa tujikumbushe
Nikiona jina lako naikumbuka Yanga ya Hali ngumu ya kina Benito John, Mbuna, Changa, Moris, Waso, Ben Haule na Mpachika mabao Abou Ramadhani Mawia.......
 
Nikiona jina lako naikumbuka Yanga ya Hali ngumu ya kina Benito John, Mbuna, Changa, Moris, Waso, Ben Haule na Mpachika mabao Abou Ramadhani Mawia.......
Sawa
 
Hatutaki kelele Kama Yule waiti, fanyeni usajili Kama Chelsea .kimya kimya. Kwa uhakika zaidi.. Halaaaaaa Yanga
 
Mkwasa aliomba kila shabiki wa yanga, achangie japo 500 tu kila mwezi,zoezi limefikia wapi?
Shilawadu walikuwa wakimuinterview aliyekuwa mke wa Manyika jr akasema alikuwa anamfuga Simba njaa kali..aahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…