Oxx
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 896
- 1,946
Punguza jazba ayo ni mambo ya Wazazi na mambo ya wazazi yanajadiliwa chumbani.....Ukweli mchungu yanga mnadaiwa salar za watu lipeni kwanza acheni mbwembwe
Vip unataka uingie chumbani..?
Vip Rufaa yenu? Au umerizika kununua nafasi ya Shirikisho?