Sportpesa cup tutatumia timu bnashauri kwenye michuano ya sport pesa tuwatumie vijana wetu akiwemo Saidi Bakari aliyekuwa Gabon. Ili tuone wakuongeza
Kamfukuzeni kwanza manaraKama tunapigwa na mbao mechi mbili mfululizo hii ni dalili mbaya sana kwa timu, inatakiwa ifanyiwe overall restructuring ikiwemo viongozi na benchi la ufundi vinginevyo tusubiri maumivu
NA wamechukua ubingwaMiezi minne wachezaji wanapiga miayo![emoji43] [emoji43] [emoji13] [emoji13]
Wewe nenda umshauri manaraWaache majungu ,kutowashirikisha mwambusi na lwandamina kwenye usajili ,kujifanya wajuaji kuliko walimu na pia kuwatenga
Kuna jamaa mkubwa tu pale yanga niliwasikia na nilichosikia nilibaki kusikitika tu
Ndio maana hawakupata ubingwaManji kasepa,Yanga na kiburi chao wameachiwa manyoya
MAKUBAZI FC
Mkwasa aliomba kila shabiki wa yanga, achangie japo 500 tu kila mwezi,zoezi limefikia wapi?
Simba mjanja wao ni manaraShilawadu walikuwa wakimuinterview aliyekuwa mke wa Manyika jr akasema alikuwa anamfuga Simba njaa kali..aahhaa
Umeonaeeeeeee?Kumbe wanacheza Mpira bila ya kulipwa alafu wanakuwa mabingwa!!!
Bakuli FC wachezaji wote umri umewatupa!!!
Wazo zuriSportpesa cup tutatumia timu b
Kweli mkuu umenena vyemaWachezaji hawana mishahara mwezi wa 4 sasa iyo 2.4B wanaitoa wapi? .......akili za kiteja bhana
Na bado wamebeba ...na kuwaacha vijana akina Mwanjale wakiambulia utupu.Bakuli FC wachezaji wote umri umewatupa!!!
Rage alishawambia nyinyi kuwa ni mambumbumbuWachezaji hawana mishahara mwezi wa 4 sasa iyo 2.4B wanaitoa wapi? .......akili za kiteja bhana
wachezaji wa Simba walikosa mshahara wa mwezi mmoja tu wakaamua kuuza mechi mbili za mwisho za LigiKuu mzinguko wa kwanza.Wachezaji hawana mishahara mwezi wa 4 sasa iyo 2.4B wanaitoa wapi? .......akili za kiteja bhana
Rufaa ya Fifa vipi mbona kimya?Kweli mkuu umenena vyema
Wanasubiria kombe la rufaa kutoka FifaNa bado wamebeba ...na kuwaacha vijana akina Mwanjale wakiambulia utupu.
Level za njaa na uelewa yaani elimuwachezaji wa Simba walikosa mshahara wa mwezi mmoja tu wakaamua kuuza mechi mbili za mwisho za LigiKuu mzinguko wa kwanza.
Yanga miezi 4 hawajalipwa lakini wamebeba UBINGWA.
"Kuna tofauti ya level za njaa Kwenye hivi vilabu".