Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

Bakuli FC wachezaji wote umri umewatupa!!!
 
Kama tunapigwa na mbao mechi mbili mfululizo hii ni dalili mbaya sana kwa timu, inatakiwa ifanyiwe overall restructuring ikiwemo viongozi na benchi la ufundi vinginevyo tusubiri maumivu
Kamfukuzeni kwanza manara
 
Waache majungu ,kutowashirikisha mwambusi na lwandamina kwenye usajili ,kujifanya wajuaji kuliko walimu na pia kuwatenga

Kuna jamaa mkubwa tu pale yanga niliwasikia na nilichosikia nilibaki kusikitika tu
Wewe nenda umshauri manara
 
MAKUBAZI FC
29337a84e8f1ed94e7c128e78a8d0802.jpg
 
Wachezaji hawana mishahara mwezi wa 4 sasa iyo 2.4B wanaitoa wapi? .......akili za kiteja bhana
wachezaji wa Simba walikosa mshahara wa mwezi mmoja tu wakaamua kuuza mechi mbili za mwisho za LigiKuu mzinguko wa kwanza.

Yanga miezi 4 hawajalipwa lakini wamebeba UBINGWA.

"Kuna tofauti ya level za njaa Kwenye hivi vilabu".
 
Back
Top Bottom