Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

Manji kasepa,Yanga na kiburi chao wameachiwa manyoya
Bila shaka lile donda alilowaachia linalotokana na Kuikosa NDOO za VPL kwa muda wa miaka 5 bado unalo na linakuuma vibaya mno.

Pole sana mtani, tema mate tukamchape Manji.
 
Waache majungu ,kutowashirikisha mwambusi na lwandamina kwenye usajili ,kujifanya wajuaji kuliko walimu na pia kuwatenga

Jangwani mambo yanafanyika ki-proffesery zaidi ......

Hakuna anayefanya usajili bila Report ya Lwandamina + Mwambusi......

Ungetukuza enzi zetu zile za kusajili ovyo ovyo huyo Bocco mmngemsikia ameshatua Jangwani....si mnajua kuwa sisi tulivyokuwa mamafia kwenye usajili nyakati za nyuma...? Kama umesahau nakukumbusha la Twitte tu!

By the way! Omog ajawasilisha ripoti yake kuhusu usajili tayari Hans Pope ameanza kusajili akina Bocco....
 
Miezi minne wachezaji wanapiga miayo![emoji43] [emoji43] [emoji13] [emoji13]
Halafu wakabeba NDOO ya LigiKuu......

Inabidi na sisi simba tuwe tunawapa semina wachezaji wetu ,pale mishahara inapochelewa wawe wanajituma tu...

Sio wakicheleweshewa mwezi mmoja tu wanauza mechi, kama zile game zetu mbili za mwisho wa mzunguko wa kwanza.
 
Kma ni inxhu za room apa mmeleta za nn lipen salar bhana
Yanga wanauwezo wa kutowalipa wachezaji wake msimu mzima na bado wakatwaa Ubingwa wa VPL....

Tumelidhihirisha msimu wa 2016/17.

Sasa mnyime mshahara Wa mwezi Kichuya....atagoma kufunga kama alivyogoma kufunga round ya pili...nankuambulia mabao 3 tu.
 
Ndio ujue kuwa ndani ya mikia fc kitu weredi hakuna yaani pope anafanya anavyotaka ili apige noti
 
Wachezaji hawana mishahara mwezi wa 4 sasa iyo 2.4B wanaitoa wapi? .......akili za kiteja bhana

Japo si kweli kuwa 2.4 Bilioni zitatumika Kwenye usajili pekee....

Ila kusema kuwa Yanga watatoa wapi 2.4 Bilioni ikiwa wamesaini mkataba wa Bilioni 5 na SportPesa ni kuonyesha wana jamvi ni kiasi gani cha akili zako umeazimisha na kiasi gani umebakiwa Nazo kichwani.

Kama si umbumbumbu uliokomaa
..
 
Rage alishawambia nyinyi kuwa ni mambumbumbu
Waliowaweka wale kina Aveva,Kaburu,na Said Tuli.. Ni wajanja wa mishe za hela town.

Wangemrudisha Kaduguda na Rage, angalau tungesema kuna timu pinzani ya Simba.

Ubingwa watausikia tu kwenye vipindi vya michezo kwa Hawa friends of Simba.
 
Kabisa kabisa na wanachojua ni kuwahadaa wapenzi wao
 
4G Haaoooooooooo
 
Canavaro abaki bado mchango wake unahitajika ndani na nje ya uwanja. Oscar, bartez, zuru hata kessy sioni faida ya uwepo wao kikosini!
 
Rufaa ya Fifa vipi mbona kimya?
Kwani tofauti ya MAKUBAZI FC na MNYAMA ni nn?wote tunapanda ndege. Wote tuna makombe. Ila MNYAMA anapata 92 milions.. MAKUBAZI FC 80 milions.. na ni sawa na hasara pesa zote ulizopewa unarudisha MADENI YA MECHI ULIZONUNUWA.
Wanasubiria kombe la rufaa kutoka Fifa
 
Kwani tofauti ya MAKUBAZI FC na MNYAMA ni nn?wote tunapanda ndege. Wote tuna makombe. Ila MNYAMA anapata 92 milions.. MAKUBAZI FC 80 milions.. na ni sawa na hasara pesa zote ulizopewa unarudisha MADENI YA MECHI ULIZONUNUWA.
Kwahiyo mmekubali kushika nafasi ya pili?kumbe ile rufaa ilikuwa ni janja tu?teeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeeeh Bihindu fc
 
Umesahau kupunguza 39m ya FIFA kupata ubingwa wa mezani
 
Kwahiyo mmekubali kushika nafasi ya pili?kumbe ile rufaa ilikuwa ni janja tu?teeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeeeh Bihindu fc
Kushika nafasi ya pili tena tofauti ya magoli ni bora kuliko kuwa BINGWA kwa MSAADA wa JAZA UJAZWE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…